ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #341
Saido Anapoteza mpira na kuharibu Move hapaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utangazaji wa mpira kwenye mtandao JF ni kitu kingine kabisa.huwa watangazaji ni wengi na wanachanganya uongo na matusi na hakuna maonyo.Tofauti na redioni na kwenye runinga.Mkuu unalipwa na nani!?
Ama huna Kazi ingine ya kufanya!?
Ama ndio haya mahaba mapya wanaita mahaba dp world!?
Ama mahaba celeb!?
Shida sio wazee wengi, shida ni upangaji wa kikosi wa kijinga.Wazee wengi wanatucost simba. Intensity ya yanga ni ya Hali ya juu
Refa ana matokeo mfuko wa shatiMbona watu wanashika mpira na refa amekausha tu
Hii sheria ya wapi?
Hakustahili kuanza huyu, pale mbele pamekosa moto kwasababu ya uzururaji wake.Bocco ni zigo la mafi
Sema ndio vile Commando akienda vitani kwa kuambatana na kundi la mgambo, naye ataonekana mgambo tu.So Far Konde Boy na Malone wanafanya kazi Nzuri Simba