Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Mkuu unalipwa na nani!?

Ama huna Kazi ingine ya kufanya!?

Ama ndio haya mahaba mapya wanaita mahaba dp world!?

Ama mahaba celeb!?
Utangazaji wa mpira kwenye mtandao JF ni kitu kingine kabisa.huwa watangazaji ni wengi na wanachanganya uongo na matusi na hakuna maonyo.Tofauti na redioni na kwenye runinga.
 
Wazee wengi wanatucost simba. Intensity ya yanga ni ya Hali ya juu
Shida sio wazee wengi, shida ni upangaji wa kikosi wa kijinga.


Hapo nje kwenye benchi wamejaa vijana wengi tu wanaoujua mpira ila yeye kachagua kuanza na wazee uwanjani.

UPUUZI MTUPU.
 
Back
Top Bottom