Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa waganga limeshahesabikaGooooaaaaaaal
Off side
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waganga limeshahesabikaGooooaaaaaaal
Off side
Ha ha haaa..Dah kmmk
Tayariiiii [emoji23][emoji23][emoji23]refa kama kawaida mbeleko
dk si nyingi inakuwa tayariiii[emoji23][emoji23][emoji23] tayari siyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu baadae wanamtolea povu RefaWatu wanashangilia offside mpaka mishipa ya shingo inataka kupasuka[emoji23].
Mambo yatanoga zaidi kipindi cha piliGoooooooooooal
Lakini Ni Offside
AahaaaaaaOffside
Uchawi upo mkuuKuna muda najiuliza, au huwa ni maelekezo ya viongozi fulani?
Hivi kwenye benchi unawezaje kuwa na Baleke na Phiri kisha uanze na Bocco mbele?
Umeibuka HT𝗛𝗔𝗟𝗙 𝗧𝗜𝗠𝗘
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 0 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 0
Si ndio ungekuwa umefunga? Simba mbovu ila mpaka sasa hauna goli, akili zipo kweli?wachambuz wanakwambia simba kasajili vizuri sana unaitafuta iyo vizuri hadi sasa ivi huipati
Bado lingine kipindi cha pili hawaendi penati hawa Makolo leo wanategemea penati leo hakuna penatiKwa waganga limeshahesabika