Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba wakipatq mpira, wanapoa. Yanga wakipata wanachangamka wanakuwa faster.
Ndio maana mashambulizi ya simba yanga wanakuwa wameshajaa kila sehemu na Simba wakishambuliwa wanakuwa wachache na wanafanya faulo nyingi. Ndio maana kona simba 0 Yanga 6.

Tatizo sijajua ni aina ya kikosi kilichowekwa au hawana morale kuliko Yanga.
 
Huyu Bocco labda kama kabeba uchawi kama wengine wanavyotania, ila hana mpira wowote wa maana kiasi cha kuachwa dakika zote hizo.
 
Back
Top Bottom