ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #601
Kona 6 kwa Yanga
Simba Hawajapata Kona
Simba Hawajapata Kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa anajua sana, wachambuz wanakwambia yanga aliokota okota hahahaha simba ndo kasajiliMax Yupo Kila Sehemu
Kwasababu ya kukimbiakimbia uwanjani? Hakuna mchezaji humo.jamaa anajua sana, wachambuz wanakwambia yanga aliokota okota hahahaha simba ndo kasajili
Unaongoza goli ngapi mpaka sasa?hawa nyau hakuna timu hapa ni upumbavu mtupu
kweli mkuu wachezaji wapo simba maana wameongoza faulo, wameongoza kushambuliwaKwasababu ya kukimbiakimbia uwanjani? Hakuna mchezaji humo.
Mbona hamuwafungi sasahawa nyau hakuna timu hapa ni upumbavu mtupu
Kama nyinyi mnavyoongoza goli tano mpaka sasa, mna team nzuri sana.kweli mkuu wachezaji wapo simba maana wameongoza faulo, wameongoza kushambuliwa
Wewe shabiki maandazihakuna penati ya vile labda kwenye kandanda sio soka