Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Wachezaji tunao ila kocha hana mbinu

Mpaka saizi haifahamiki formation inayochezwa humu ni formation gani.

Kinachoonekana hapa ni individual ability tu katika kusababisha tusifungwe.
 
Wachezaji tunao ila kocha hana mbinu

Mpaka saizi haifahamiki formation inayochezwa humu ni formation gani.

Kinachoonekana hapa ni individual ability tu katika kusababisha tusifungwe.
Mimi siamini kama hatuna kikosi kizuri, ninachojua mimi shida ipo kwa mwalimu maana mpaka sasa licha ya wacheza kucheza mfumo ambao haueleweki bado hawajaruhusu magoli ya kizembe kama ilivyotegemewa.

Tupate kocha mpya, vingenevyo ni maumivu huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom