Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Wachezaji tunao ila kocha hana mbinu

Mpaka saizi haifahamiki formation inayochezwa humu ni formation gani.

Kinachoonekana hapa ni individual ability tu katika kusababisha tusifungwe.
Wachezaji wazee jalini afya ya saido sio wa kucheza 90 mins
 
hawa ndo washiriki wa super ligi hahahaaha dunia ina vichekesho sana
 
Wachezaji tunao ila kocha hana mbinu

Mpaka saizi haifahamiki formation inayochezwa humu ni formation gani.

Kinachoonekana hapa ni individual ability tu katika kusababisha tusifungwe.
Robertinho alipoifunga Yanga ya Nabi alionekana bonge la kocha, leo anakataliwa 'Live'.
 
Sijui ni Nini lakini Simba players wapo slow sana kwenye kucounter react wanapopokonywa mpira ......wanakua kama wamezubaa hivi..
Halafu 80% Duels wameshinda Yanga vs Simba ......ukiondoa Kwa Malone pekee na kidogo saivi Ngoma.
Likiingia lingine kibendera hawabebi tena
 
Back
Top Bottom