Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Haya kaa hapo hapo dakika ya 85'Uzuri mie huwa sikimbiagi uzi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kaa hapo hapo dakika ya 85'Uzuri mie huwa sikimbiagi uzi...
🚮🚮🚮Likiingia lingine kibendera hawabebi tena
SawaaHaya kaa hapo hapo dakika ya 85'
huyu jamaa mbona nafasi hapewi sanaPacome In
Musonda Out
Hongera kwa kuongoza goli nyingi mpaka sasa.lugha n moja tu huna timu ya ushindani
Taratiibu lugha zinabadilikaMpaka sasa
Yanga 2(zimekataliwa)-0 Simba
Tulia ukandwe weweTaratiibu lugha zinabadilika
Zipo mkuu ila 'derby' haijali hilo.Bil 3 mnaziona kweli hapo uwanjani?
Nipo Mkuu The Chief XI akili haijatulia kwasasa...Vyote kwa pamoja Bantu Lady upo wapi?
Dakika ya 88'HATA SISI AMBAO HATUJASOMEA UKOCHA, tunaangalia tu Mpira tumeona saidoo Hana msaada tokea dakika ya 15 za MWANZO alafu yeye anamng'ang'ania mpaka mwisho