ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #801
Baleke Anapiga Shuti Linaenda Nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia ukandweMchezo upo rafu rafu tuuu
Ukocha sio ualimu mjomba achana na taaluma za watuHATA SISI AMBAO HATUJASOMEA UKOCHA, tunaangalia tu Mpira tumeona saidoo Hana msaada tokea dakika ya 15 za MWANZO alafu yeye anamng'ang'ania mpaka mwisho
Hiyo ya Pacome, sijui kwanini huwa anaanzia benchi.
Yanga BINGWANipo Mkuu The Chief XI akili haijatulia kwasasa...
Ndio kunaitwa kufa kishujaa sio ?Tunaenda matuta
Hana msaadaSaido bora angecheza phiri tu huyu kocha hafai ni wa kumuondoa mapema
Dakika 90'Kuna mtu humu yupo uwanjani ashuke akampige robertinho makofi?
Vip juzi zilionekana, maana leo utasema Derby.Zipo mkuu ila 'derby' haijali hilo.
mi mwenyewe nashangaa sana nandio mechi yake ya kwanzaHiyo ya Pacome, sijui kwanini huwa anaanzia benchi.
Wanategemea matuta sijui na huko watamtegemea kibendera au itakuajeNdio kunaitwa kufa kishujaa sio ?