Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ally Salim apewe maua yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize kocha GAMONDI...anasema SIMBA didn't create a clear chance...
Maneno ambayo niliyasema humu Jamii forum tangu mechi ya Simba day against Power DYNAMO..nikaonekana kama mimi ni YANGA
Kimbilia leba uchungu unakusumbua.Mpira umekwisha na aliyeshinda anajulikana mengine ni maneno ya kwenye kanga.timu bora imepoteza mbele ya timu mbovu daaah mpira unaumiza sana
Hajafanya hivyo kwenu nyinyi tu, hata kwa Singida alitoa penalty.hakuna kipa hapo sema wachezaj wa yanga wamezingua
Kweli kabisa, wafunge KUANZIA Sasa.Kunyweni panadol..siku nyingine mjifunze kufunga midomo
Wachambuzi wa jf hawalijui hilo Mkuu. 🤣🤣🤣Kwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
ivi hadi kwa singida dk 90 ulishindwa fanya kitu hahahahaha mkuu staki kuaminiHajafanya hivyo kwenu nyinyi tu, hata kwa Singida alitoa penalty.
Uto tulia maana hata nyinyi ngao mbili zilizopita sio zote mlizostahili .timu mbovu imechukua kombe
Nyie pangetosha Mtani?Simba wanavyopenda sifa. leo mtaani hapatoshi
As always the losers are never short of stupid excuses.Regardless of the final results, Yanga are still the team to beat this season. Simba have run out of gas in the second half while Yanga seemed to getting stronger and stronger.
Umeona Bilioni 3 zilivyofanya kazi? 🤣 🤣 🤣kwa raha hizi za yanga unajiua vp
dk 90 unamkimbiza mtu wa usajili wa bilioni 3 unajiua vp