Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Hongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.

Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.

Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.

DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
Pole sana mkuu,maumivu kote kote,kwenye bandari tumepigwa wote na kwenye ngao ya hisani umepigwa .
 
Tutabadilika ila kwa mwaka huu sisi ndio mabingwa wa ngao ya jamii. Ila mwambie Robatinyo, tutakuja tumkate korodani akiendelea hivi
Masahihisho:

Simba ni Washindi wa ngao ya jamii na siyo mabingwa, najuwa hamna furaha kwa muda mrefu.
 
hivi ni medali au medani?
Dictionary ya kiswahili inatambua Medali

Screenshot_20230813-213543.png
 
Hongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.

Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.

Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.

DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
Na kweli vichwa panzi. Na hao waliokosa penalti nao watasemaje?Si ndio mpango wenyewe au?Visingizio ndio dili sasa.
 
Back
Top Bottom