Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Acheni kumharibia kibarua mwenzenu.


Tatizo sio wapigaji bali ubora wa Goalkeeper ndo umechangia matokeo hayo.

Mkude mwacheni ale mafao yake vema kazi yake imeonekana. Alimficha Ngoma Nangwa vilivyo
 
Simba Wameenda Tanga Kwa Shughuli Moja TU...! Kucheza mpira,yaani boli watu wa boliii

Yanga Wameenda Tanga Kwa Mambo Mawili, Kucheza na Urefa...! na kingine Amapiano. Sa Unategemea nini?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hata kama yanga wangeshida nisingefurahi ushindi wa penati.

Na sasa ndiyo upo hoi kabisa maana hata ushindi wa penalty mmekosa. Hii inaonyesha jinsi timu ilivyo mbovu kuanzia ndani ya dakika tisini hadi kwenye penalty! Jiangalieni sana huko mnakoenda msijefyatuliwa hata na Djibuti!
 
Simba wanashinda,Waswahili Wanalo neno nimelisikia 'Mtawalia' ..Kocha Robertino anapata Ushindi Dhidi ya Yanga mara ya tatu mtawalia...!

Mtawalia nini maana yake..

Ndo mana Nabi Kamkimbia
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Namleta mchawi wenu mumuone
Namleta mchawi wenu mumuone
Mwanga huyu hapa
Mwanga huyu hapa
Mwanga huyu hapa
Mwanga huyu hapa
Ally_Salim.jpg
 
Back
Top Bottom