Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Haujui mpira.Mashabiki wengi ni oyaoya ,hawajui mpira ,hauwezi kushangilia ushindi wa penati.
Timu bora ni ile inayopata matokeo kwenye dk 90, nyongeza 30 au penati.
Ukiwa mbovu kwenye penati, wewe bado haujawa na kikosi bora.
Unafikiri bila kushinda penati, wydad wangeenda vipi nusu fainali?
Acha kujifariji ujinga