Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Mashabiki wengi ni oyaoya ,hawajui mpira ,hauwezi kushangilia ushindi wa penati.
Haujui mpira.
Timu bora ni ile inayopata matokeo kwenye dk 90, nyongeza 30 au penati.
Ukiwa mbovu kwenye penati, wewe bado haujawa na kikosi bora.
Unafikiri bila kushinda penati, wydad wangeenda vipi nusu fainali?
Acha kujifariji ujinga
 
Hiki kitu nimewaambia sana hawa watu wanaoyabeza magoli ya matuta, wanashindwa hata kukumbuka vile matuta hayo hayo yalivyowapatia Kombe la dunia Argentina mwaka jana, sasa kama matuta yanaweza hadi kuipatia timu kombe kwanini yasishangiliwe

Brazil 1994, Italy, 2006 na Argentina 2022 walichukua kombe la dunia kwa penalty kama hawajui hao, pengine hawakuwepo kabisa duniani au walikuwa wanakula mtindi wa mama. Najua wengi wameona ya mwaka jana ndiyo maana wanaona kitu cha ajabu!
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Uwezo tunao, Kikosi bora pia tunacho hapa ni swala la muda tu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee mtaniiii.
 
AAAD1A51-3922-493C-86C3-95A7AAF65D4D.jpeg
 
Haujui mpira.
Timu bora ni ile inayopata matokeo kwenye dk 90, nyongeza 30 au penati.
Ukiwa mbovu kwenye penati, wewe bado haujawa na kikosi bora bado.
Unafikiri bila kushinda penati, wydad wangeenda vipi nusu fainali?
Acha kujifariji ujinga
Hajui uingereza Morihno alichukua kombe kwa counter attack na kupaki basi, possession mnaachiwa ila mnafanyiwa timing,nayo ni mbinu kama unaweza tumia.
 
Back
Top Bottom