Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Ndiyo hapo sasa. Wanajifariji tuYanga hii hii ilipigiana penalties na usm alger kwenye caf losers cup, wangeshinda, wangesusa kombe? Wasingeshangilia?
Penati ni sehemu ya mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hapo sasa. Wanajifariji tuYanga hii hii ilipigiana penalties na usm alger kwenye caf losers cup, wangeshinda, wangesusa kombe? Wasingeshangilia?
Salim kaimprove sanaa ,leo kajua kutufurahishaKambi ya Uturuki imelipa
Ingekuwa aibu sana yani tutolewe na walioishia kigamboni
Ni mapema sana kuwahukumu wachezaji. Bado wanajitafutaKaka..
Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.
Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.
Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.
Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
Wachezaji wazee jalini afya ya saido sio wa kucheza 90 mins
Pole mtaniHongereni sana watani. [emoji1490]Angalau sasa na ninyi mna ka kombe. Tunaweza kukaa chumba kimoja ingawa itabidi mkae kwenye mkeka. [emoji1487][emoji4]
#Yanga #Simba #NgaoYaJamii2023
Katika hao viungo wa4 ni ngoma tu anajua boli, huyo hamisi bado sijamtizama vizuri.Hapana Sajili hatujafanya mbovu.
Kocha tu ndio hana mbinu ameshindwa kuwa na timing ya kujia hitaji la mchezo linataka aina gani ya formation.
Simba tuna utajiri wa Viungo
Tunao viungo wakutosha
1. Kanoute
2. Mzamiru
3. Ngoma
4. Abdallah Hamis
Moses Phiri sio wakuwekwa bench na Bocco na ndio hapo tunarejea kwenye hoja ambayo inatuunganusha wote kuwa Kocha ana matatizo.
Ila amini kuwa tumesajili vizuri tumekosa mwalimu ambaye anaweza kuwa na mbinu za kuifanya timu iwe tishio pindi inapokuwa na mpira na pindi ikiwa haina mpira.
Watoto wadogo hawawezi kuelewa...(In TID voice.)Brazil 1994, Italy, 2006 na Argentina 2022 walichukua kombe la dunia kwa penalty kama hawajui hao, pengine hawakuwepo kabisa duniani au walikuwa wanakula mtindi wa mama. Najua wengi wameona ya mwaka jana ndiyo maana wanaona kitu cha ajabu!
Nashukuru mkuu🙏🏾🙏🏾🙏🏾Sema mkuu baadhi ya tabiri zako kwenye mpira huwa nazikubali sana, japo ile ya Aucho umekosea kidogo uliposema atapaisha japo kukosa amekosa, kuna ile moja ya World Cup mwaka jana
Mwanzoni kabisa mwa michuano baada ya Argentina kufungwa na Saudi Arabia na watu kuanza kuitabiria kuwa haitafika mbali, ukatabiri kuwa ndio itachukua kombe na ukatolea mfano wa Spain, ilivyofungwa na Switzerland kwenye mechi yake ya kwanza kule South Africa kwenye World Cup 2010 hadi kufanikiwa kuchukua WC
Kuna watu nikiona comments zenu kuhusiana na mpira najua hapa huyu kaongea uhalisia kaweka ushabiki pembeni ila kuna wengine akitabiri unaona kabisa huyu kacomment kwa mahaba tu
Kanoute na Mzamiru unawa exclude?Katika hao viungo wa4 ni ngoma tu anajua boli, huyo hamisi bado sijamtizama vizuri.
Na je tutashiriki michuano yoote, tukiwa na hao viungo wa4?
Tizama positions nyingine, viongozi wanasajili hovyo.
Wasidizi wa kuwakaribia kapombe na tshabalala hakuna.
Wewe waponze wenzio kesho ndio utamjuwa baniani ni nani.Wanangu wa simba leo hakuna kulala [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watoto wadogo wataelewa wapi hizo mambo Mkuu[emoji1787]Sahihi kabisa dada. Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui, ama walikuwa wananyonya au hawajazaliwa kabisa!
Kanoute na Mzamiru unawa exclude?
Viungo wa nne kwa mtazamo wangu naona wanatisha kabisa.
Sajili ya hovyo ni ipi ebu point hata moja kama mfano.
Leo una haki ya kusema vyovyote kwasababu timu haikucheza kimkakati
Lakini Kocha akiisuka vizuri utaniambia.
Mechi ya Derby tulioshinda mbili hukuona kazi kubwa aliyofanya Mzamiru na Kanoute?Kanoute na mzamiru ni wavunja kuni, hawana comman kwenye kiungo, hawawezi kutuliza timu, kati yao sijaona kiungo wa kuweka mfukoni viungo wa wapinzani, akawa anatamba yeye tu pale kati,pasi zao nyingi sio za kushambulia, hawana macho ya pasi hatari, kidoogo mzamiru ila kanoute ndio kabisa sio press resistant... Kibaya zaidi hawajui kukaba ni wanacheza rafu za hovyo, wanapaniki haraka.