Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Ile moja mzamiru alikaba saana, je tunahitaji kuwa tunakaba game zote, hatuhitaji kucheza.

Kuna game ilikuwa kwa mkapa na dodoma nafikiri, walikuwa nusu.. bado walikuwa wametawala kati, kiasi myunda akamuuliza saidoo, "inakuwaje watu pungufu halafu wanacheza wao"

Amini nakwambia hizi midfielders ni wavunja kuni ndugu yangu🤣
Mtizame ngoma kisha jaribu kutizama kina mzamiru na ndugu yake kanoute.
Huwezi kuwa na consinstency ya ubora kila mechi, kuna muda inatokea una drop.

Ile game naikumbuka ilikuwa ni dhidi ya Mbeya City ni game ambayo wachezaji walikosa morale.

Kuna hiyo na ile ya KMC tena ni kama zilifuatana, tulicheza hovyo sana sitaki hata nijikumbushe mechi hizo.
 
Utopolo kubalini tu mmefungwa na SIMBA na mmepoteza ngao ya Hisani.
Umefungua nyuzi nyingi za kujitetea,kuponda nk..
Kwenye mchezo wa mpira kikubwa ni ushindi...hayo mengine ni mahangaiko tu.
Tukutane tarehe tano Novemba.
 
Dogo leo alimeza penati zote,ya Aziz K aliikosakosa ingawa hata angeipata sidhani kama angeweza kuipanchi maana ilikuwa na nguvu sana
Azizi Ki leo atajiona mwenye bahati sana.

Huyu dogo sio mzuri alidaka penati ya mzungu huko Uturuki.

Afu we unatuletea kina Yao. Ally Salim kwanza akawa anajiuliza huyu jamaa ni wawapi mbona ana jina la kichina afu ngozi ya kiniga imekuwaje?.

Yani Yao ndio akapewa dhamana awe miongoni mwa watakaoivusha Yanga ichukue kombe.

Yani Yao ndio alikuwa kama mbeba maono wao.

Yule mzungu ambaye penati yake ilichezwa na Ally Salim angemuona Yao akijiandaa kupiga penalti angecheka sana.
 
Bado, Muelezee Vizuri..ZNZ kuna Small Simba,Kikwajuni na Malindi...Sea boy na Macho Manne, zingine ni KmKm,Mlandege n.k...Katokea timu gani kwani...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katokea ndondo.
 
Back
Top Bottom