Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Anacheza mpira wa kisasa...direct footballNimemwangalia Kwa Makini Kibu...toka aingie Nimegundua hata mimi nikiwa Kocha Siwezi kumweka Benchi...
Jamaa ni Mbishi,awe na Mpira au asiwe na Mpira...kifupi hachoki