Simbachawene 2030 huyu mzee anaweza kutuvusha na kuunganisha Nchi tofauti na hapo labda Lissu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania. Namuona mbali mzee wangu simba chawene 2030
 
System ya akina JK haiwezi kumpa huyo jamaa, 2030 Jeikei akiwa hai, raisi ni Nchimbi au Mwinyi, PM anaendelea hiyo huyo jamaa wa mandevu, mambo ya nje wizara ya mambo ya ndani anapewa Rizi.

Jeikei akivuta "shuka" hii nchi ndo itapona kutoka kwa wanamtandao wanaonufaika nayo. Akiwepo Jeikei 2030, Nchimbi au Mwinyi anachukua. Mpango ni kuja kumpa mwanae hii nchi mbele huko.
 
Jeikei akivuta "shuka" hii nchi ndo itapona kutoka kwa wanamtandao wanaonufaika nayo. Akiwepo Jeikei 2030, Nchimbi au Mwinyi anachukua.
Huyu mzee ana busara mimi kama mwana CCM huyo ndo mtu anaweza kutuvusha tofauti na hapo wanatafuta machafuko na kuigiza nchi kwenye machafuko
 
Braza nakwambia hivi, Jeikei akiendelea kuwepo hii nchi anachukua Nchimbi au Mwinyi.
Jeikei muone vile vile ana hesabu kali sana na kabaki peke yake. Angalia hesabu ya huyu mama alivyoipiga, amepiga kitaalam sana.
 
Huyo jamaa sizani kama anatoboa 2030 wabaya wake wako macho unafikiri alichokifanya October 29 ameumiza watu wangapi?
 
Jeikei ni kirusi aisee! Angalia anaendesha nchi kwa rimoti toka msoga. Huyo mama ni kinyago tuu, kakichonga mwenyewe.
[/QUOTE]
Naye anawindwa sasa hivi JK hawezi kijiachia tena Jk sio kipenzi cha watu Kama zamani yeye ndo kasababisha Polepole wamewekwa kizuizini kwa kushirkiana na Butiku
 
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania
...Anaweza asiwe CHAWA, kama Inawezekana, lakini Wewe ni CHAWA kiwango Cha SGR !!! 😀😀😀
 
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania
Hakuna mazafaka wa CCM atakayeweza kuivunja hii repressive regime waliyojitengenezea!
 
System ya akina JK haiwezi kumpa huyo jamaa, 2030 Jeikei akiwa hai, raisi ni Nchimbi au Mwinyi, PM anaendelea hiyo huyo jamaa wa mandevu, mambo ya nje wizara ya mambo ya ndani anapewa Rizi.

Jeikei akivuta "shuka" hii nchi ndo itapona kutoka kwa wanamtandao wanaonufaika nayo. Akiwepo Jeikei 2030, Nchimbi au Mwinyi anachukua. Mpango ni kuja kumpa mwanae hii nchi mbele huko.
Ya kesho huwezi kuyajua! Time will tell!
 
Braza nakwambia hivi, Jeikei akiendelea kuwepo hii nchi anachukua Nchimbi au Mwinyi.
Jeikei muone vile vile ana hesabu kali sana na kabaki peke yake. Angalia hesabu ya huyu mama alivyoipiga, amepiga kitaalam sana.
Jakaya Kivuruge haziivi sana na Nchimbi kwa kuwa Ema ni Team Lowasa na ndiye mtu pekee alimkabili JK baada ya kumtosa Lowassa, alimwambia JK ana kwa ana kuwa amekosea na ndiyo maana Magufuli akampeleka Brazil kwani alimuona ni mtu mwenye uthubutu wa kumwambia mkubwa kuwa amekosea. Kumbuka JK ni mtu wa visasi sana anakuchekea huku anakulia timing jinsi gani akufyatue
 
Jeikei hajawahi kuwa na ugomvi na Lowassa mkuu. Nchimbi ni kijana mtiifu wa Jeikei. Aliemlea Nchimbi toka UVCCM ni Jeikei, kampa ubunge, wizara ya mambo ya ndani na wizara ya vijana. Na hii juzi, Jeikei n Pinda ndio wamempendekeza Ema U-vice.

Do your homework, JK hajawahi kuwa na ugomvi na EL.
Mtu pekee ambae atamlea Rizi na kumwandaa kwa "big roles" ni Nchimbi na Mwinyi and JK knows it better.
Nchimbi hajafika hapo alipo kwa ngekewa au bahati, ni miaka kibao anaandaliwa, mtu pekee alietaka kumletea kauzibe Nchimbi ni mwendazake na sababu zinajulikana.
Angalia mtiririko wa nafasi za Nchimbi kwa miaka mitatu iliypits ndip utajua anakoelekea.
 
FB_IMG_1758911940479.jpg
 
Back
Top Bottom