Simbachawene 2030 huyu mzee anaweza kutuvusha na kuunganisha Nchi tofauti na hapo labda Lissu

Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania
Ccm mnapenda kupima upepo
 
Uko sawa kabisa Jk ndo alimteua Nchimbi kwa Mara ya kwanza kua DC lakini hiyo haiwezi kuzuia Nchimbi ni mtu flani mwenye misimamo
 
Jeikei hajawahi kuwa na ugomvi na Lowassa mkuu. Nchimbi ni kijana mtiifu wa Jeikei. Aliemlea Nchimbi toka UVCCM ni Jeikei, kampa ubunge, wizara ya mambo ya ndani na wizara ya vijana. Na hii juzi, Jeikei n Pinda ndio wamempendekeza Ema U-vice.

Do your homework, JK hajawahi kuwa na ugomvi na EL.
Mtu pekee ambae atamlea Rizi na kumwandaa kwa "big roles" ni Nchimbi na Mwinyi and JK knows it better.
Nchimbi hajafika hapo alipo kwa ngekewa au bahati, ni miaka kibao anaandaliwa, mtu pekee alietaka kumletea kauzibe Nchimbi ni mwendazake na sababu zinajulikana.
Angalia mtiririko wa nafasi za Nchimbi kwa miaka mitatu iliypits ndip utajua anakoelekea.
Uko sawa japokua Nchimbi kalelewa na Mkapa pia ila mtu wa kwanza kumteua Nchimbi kua DC ni Jk
 
Aligundua kipaji cha Nchimbi at first glance ni mzee Mzee Msekwa, aliemlea kisiasa mwanzoni kabisa mwa UVCCM ni Mkapa, JK akamuingiza kwenye uongozi wa umma na kumuandalia njia yake kiungozi, toka hapo Mjomba Ema hajawahi kukosa cheo cha kuonekana, mpaka around 2015, Magu akachukua kwa umafia wa Mkapa. Kisiasa Jeikei ni Godfather wa Nchimbi.
Magu ndio akataka mficha Nchimbi kwa sababu zake binafsi. 😁
Mungu fundi, Magu akavuta shuka, chama kikarudi kwa Jeikei, Ema akachukua utendaji mkuu wa chama, kwa muda mfupi sana anachaguliwa mgombea mwenza na kuwa raisi anesubiri "President-in-waiting" . 😁

Nyongeza: Kwa cheo cha Nchimbi, likitokea la kutokea kwa bibi ushungi, ndo tunaenda nae mpaka 2040 kwa "de facto".
 
La kutokea hamna sasa tunaenda na Chawene 2030 hasiyemtaka cha wene tutasema atoke nje ya Ukumbi over au Lissu achukue nchi CCM tuna machaguo mawili Lissu achukue nchi au chawene aokoe jahazi
 
Braza nakwambia hivi, Jeikei akiendelea kuwepo hii nchi anachukua Nchimbi au Mwinyi.
Jeikei muone vile vile ana hesabu kali sana na kabaki peke yake. Angalia hesabu ya huyu mama alivyoipiga, amepiga kitaalam sana.
jina la mwinyi linatajwa sana

La kutokea hamna sasa tunaenda na Chawene 2030 hasiyemtaka cha wene tutasema atoke nje ya Ukumbi over au Lissu achukue nchi CCM tuna machaguo mawili Lissu achukue nchi au chawene aokoe jahazi
chama mlitakiwa mkiokoe 2025
 
jina la mwinyi linatajwa sana

chama mlitakiwa mkiokoe 2025
CCM hatuwezi tena kuruhusu damu imwagike never ngoja kufika 2028 utaona hakuna tena huo upumbavu tena kufanyika hii nchi sio Mali ya familia flani
 
sawa mkuu, 2028 sio mbali sana , hata trump itafahamika ataongeza muda au lah mwaka huo,

ila kwa ufasha 2028 nini kitatokea hapo ccm?
 
Nashukuru sana huyu lazima wazalendo tumpiganie
nimekuuliza swali kuwa ana ushawishi ndani ya CCM kuwazidi ex pm majaliwa, current pm mwigulu,waziri wa utumishi ridhione,au paul makonda? rais hatoki nje kati ya hao niliowataja.
 
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania. Namuona mbali mzee wangu simba chawene 2030
Bado unatuletea habari ya takataka za ccm? Tumeshachoka na hilo chama chakavu.
 
nimekuuliza swali kuwa ana ushawishi ndani ya CCM kuwazidi ex pm majaliwa, current pm mwigulu,waziri wa utumishi ridhione,au paul makonda? rais hatoki nje kati ya hao niliowataja.
Rais au mgombea urais kutoka ccm?
 
nimekuuliza swali kuwa ana ushawishi ndani ya CCM kuwazidi ex pm majaliwa, current pm mwigulu,waziri wa utumishi ridhione,au paul makonda? rais hatoki nje kati ya hao niliowataja.
Ridhione ukitoa neno Kikwete anaushawishi gani toa Makonda ana ushawishi wowote labda Majaliwa huyo Mwigulu analazimisha maji kupanda mlima
 
Back
Top Bottom