Simbachawene 2030 huyu mzee anaweza kutuvusha na kuunganisha Nchi tofauti na hapo labda Lissu

Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania. Namuona mbali mzee wangu simba chawene 2030
Unatumia vigezo gani kumuita Simbachawene Mzee?
 
Ni bora mkatafuta style nyingine ya kupata pesa, swala la Mwinyi sahau isitoshe yeye mwenyewe si mlafi kama familia ya Kikwete.
wanaopanga haya mambo kama wakisema ni yeye , hilo limekwisha.

maelezo ya watu ni kwamba kapiga kazi safi huko zenji na wanataka hiyo kazi ipigwe huku bara
 
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.

Kutoka na Istoria ya simbachwane anafaa huyu sio chawa. Hatutaki kumwaga damu tena kama October 29 kwa kutuletea watu wasiokubalika kwenye jamii na kuishia kumwaga damu za watanzania. Namuona mbali mzee wangu simba chawene 2030
Hakuna mabadiliko yoyote ya maana ndani ya nchi yetu bila kuondoka mfumo mzima mwovu wa Ccm
 
Back
Top Bottom