Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

Unamjua Tundu Lissu? Alikuwa CCM? Kwa nini alishambuliwa?
 
Chadema inawatu wa hovyo sana, unamkoti kinana iliafanyaje,unadhani anawapenda kiasi hicho!!.

Mtu haja pinga kauli ya rais wewe unamuweke maneno mdomoni eti anamaana hii.

Asali imewalevya otherwise unge mquote DJ.
 
Simbachawene ni Rais wako awamu ya saba, kuwa makini boss😁
 
Chadema inawatu wa hovyo sana, unamkoti kinana iliafanyaje,unadhani anawapenda kiasi hicho!!.

Mtu haja pinga kauli ya rais wewe unamuweke maneno mdomoni eti anamaana hii.

Asali imewalevya otherwise unge mquote DJ.
Mkuu wanachama wa CHADEMA ni KUPE hutegemea mali za Mbowe na misaada kutoka vyama vinavyo unga ushoga ili waishi. wanamaelekezo ya kupinga kila kitu kupitia mitandao ya kijamii. . wamekwamisha tozo, hawataki bwawa na umeme maji; hawataki reli ya kisasa; hawataki ndege,;hawataki tukope ili tumalize miradi ya kimkakati kwa haraka na kwa wakati; na walisusuia mchakato wa katiba mpya, wanasususa susa tu. Kupe ni hatari na moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo.
 
"Kwa wakati ule!" Siyo sasa.. Pia, ndiyo maana hata sasa ktk kujenga nchi vyama vimekubali kufanya siasa za kistaarabu. #Kwa sasa twende mbele kutekeleza maelekezo ya mkuu wetu wa nchi, Mhe. Rais Dk. Samia.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Na wabunge wangapi?mikoa 15 inakuwa na sifa gani?
 
Mm kama ni amri yangu baada ya uchaguzi vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara badala yake mikutano ya ndani iwe ruksa na ikifika mwaka mmoja kabla ya uchanguzi wowote ule mdogo na mkubwa iruhusiwe mikutano ya nje pia.
Kwa nini?
 
Na sidhani kama nitawahi kumuelewa mwanaume anayeweza kumuita mwanamke mtukufu, si hivyo tu hata mwanaume mwenzako ni ujinga.

Punguzeni kuendekeza ufukara wenu waziwazi.
Mbona na wewe chokoraa tu unaparamia paramia wanaume
 
Kwani katiba ni msaafu? Hii katiba si kila siku mnasema haifai, sasa mbona ikigusa maslahi yenu mnaponufaika mnaanza kuigusia?
 
Ni wengi walioumia, sasa ule ubunge wa mbeleko kwishnei, tutachagua kulingana na Sera.
Pia ruhusa ya mikutano itatufanya tuwaone wabunge wetu huku mikoani, upinzani ukiliamsha dude, wabunge lazima watapita pita majimboni.
Asante Samia.
Tangu lini tukachagua kwa sera? Tunaangalia mtu,chama au pesa.
 
Uongo utakusaidia nini Aisee ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…