Simbachawene: Bado Katiba yetu ni imara, imetuwezesha kuvuka vipindi vigumu kwa amani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Katiba ni mbovu mno, inampa Rais nguvu kubwa sana, Rais anateua karibu kila kiongozi mkuu wa taasisi za usimamizi na utoaji haki. Anateua Majaji, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkurugenzi wa Mashtaka na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi.

Huu mfumo unaharibu kabisa dhana ya checks and balances kwa sababu hizi taasisi haziwezi kumhoji au kumwajibisha aliyewateua.
 
he is talking bs, nchi zote duniani za kidemokrasia zina utaratibu ulionyooka wa nini kifanyike pale raisi aliyeko madarakani anapofariki, sijawahi kusikia nchi yoyote ile ambayo raisi alipofariki basi nchi ikaingia kwenye machafuko kama wanavyojaribu kutudanganya hapa, sina kumbu kumbu hata ya nchi moja dunia hii labda yeye aseme ni nchi ipi hiyo raisi aliporiki ilingia kwenye matatizo?

ni kawaida na hii ni dunia nzima aidha makamu anachukuwa kwa siku kadhaa na kuitisha uchaguzi mkuu au kama kwetu makamu wa raisi anamalizia muhula automatic sasa ni kipi kigumu na cha ajabu hapo?

low iq folks ...
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Daah dunia simama nishuke
 
Ni amelazimishwa kuongea baada ya tweet yake kuchafua hali ya hewa 🤣🤣🤣.

Ubaya wa CCM wanamaneno pia ya kumsema Samia akiwa hayupo
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Je, hii ni ndio namna yake ya kutubu kwa wakubwa zake baada ya ile kauli yake kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi?
 
Sentensi inayofaa hapa ni "...bado watanzania wamelala, watawala wanafanya lolote wanalojisikia bila kujali wananchi watafanya nini"

Kusingizia uimara wa katiba ni uzwazwa tu kwasababu pamoja na ubovu wake na uimara wao, vipengere vinavyowagusa mbona wanavikanyaga?

Kwa mfano, wamemuapisha Makamu wa Rais wakati kabla ya aliyeko madarakani hajajiuzulu rasmi

Kipengere gani kinasema "akifukuzwa uanachama anakoma kuwa makamu wa Rais?
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Amani ipi sasa? Au kwakuwa wenzetu wanalindwa na System maana sisi ambao hatuna Mtu huko juu ni vurugu mechi, uwe barabarani, uwe na biashara hutoboi, kupata kazi majanga yaani ni kama yatima
Sentensi inayofaa hapa ni "...bado watanzania wamelala, watawala wanafanya lolote wanalojisikia bila kujali wananchi watafanya nini"

Kusingizia uimara wa katiba ni uzwazwa tu kwasababu pamoja na ubovu wake na uimara wao, vipengere vinavyowagusa mbona wanavikanyaga?

Kwa mfano, wamemuapisha Makamu wa Rais wakati kabla ya aliyeko madarakani hajajiuzuru rasmi

Kipengere gani kinasema "akifukuzwa uanachama anakoma kuwa makamu wa Rais?
Amani ipi sasa, labda kwakuwa wenzetu wanalindwa na mfumo, ila kwa sisi huku chini tunaishi kwa kudra ya Mungu kila kukicha unawaza kama siku itaisha salama maana kupewa kesi ni kugusa tu uwe barabarani, biashara au hata ukipata kibarua unaweza usilipwe na huna cha kumfanya Tajiri
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Sio swala la ubora wa Katiba yetu,Bali utamaduni wetu wa uvumilivu!
 
Uwaziri ulitemwa! Tulia sasa
 
Back
Top Bottom