Simbachawene: Bado Katiba yetu ni imara, imetuwezesha kuvuka vipindi vigumu kwa amani

Katiba ni mbovu mno, inampa Raisi nguvu kubwa sana, Rais anateua karibu kila kiongozi mkuu wa taasisi za usimamizi na utoaji haki. Anateua Majaji, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkurugenzi wa Mashtaka na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi.

Húú mfumo unaharibu kabisa dhana ya checks and balances kwa sababu hizi taasisi haziwezi kumhoji au kumwajibisha aliyewateua.
Solution ni www.katibampya.com
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Watanzania ni watulivu tu siyo kwa sababu ya ubora wa katiba ni utamaduni wao.
 
Mpumbavu mkubwa huyu. Alifukuzwa uwaziri wa mambo ya ndani bila hata sababu inayojulikana ni kwasababu ya katibu mbovu lakini leo akili hazipo anaisifia katiba hiyo mbovu kwa faida.
 
CCM safari hii wamelazimishwa kuwa wawazi. Walisema ndani ya siku 100 wataanza mchakato wa kuleta katiba mpya. Baada ya kuona watu wameamua wanaanza kusema katiba ni nzuri. Leo wanatuambia walichilokua wamepanga kwamba hawakubali mchakato wakatiba mpya.
 
Inawanufaisha viongozi mafisadi katiba mpya sio ya ccm wala chadema katiba mpya ni ya watanzania wote
Mnajua kwamba katiba akibadilika hamna pakutokea mtawajibishwa vilivyo na nyie hamko tayari kujashuhudia hayo ndio maana mnatumia nguvu kubwa kuzuia mchakato wa katiba mpya
Watanzania wanahitaji mabadiliko wamechoshwa na uongozi ninauhakika seriakali hii ikiacha uchaguzi uwe huru hakika itaondoshwa madarakani mapema tu mmetumia nguvu kubwa sana kuzuia hili lakini tunasema time will tell ukombozi wa taifa ni process ndefu tutalikomboa taifa letu
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Usiongee wakati wa Kula. Mkitoka ndo mnaona MAPUNGUFU kama Tibaijuka.
 
Huyu nae nidhani walipomkata mkia amepata akili kumbe bado ana akili za kichawa- chawa ! Mwache aendelee kushika bomba mtaani
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Huyu naye boya tu. Katiba hiyo ya kikoloni ilisababisha zaidi ya watu elfu kumi kuuliwa na vyombo vya usalama vinavyounga mkono ccm
 
Kama Katiba hii ni imara. Kwanini, kwenye ilani ya CCM mmependekeza mchakato wa KATIBA MPYA?jibu nikwamba mliona Katiba ya sasa haifai. Lakini pia mlitoa ahadi ndani ya siku 100 baada ya uapisho wa Raisi mtawatimizia wananchi..Kwanini, mnataka kuvunja ahadi yenu kwa wananchi?jibu nikwamba mnaona wananchi hawana haki..CCM mnaimaliza wenyewe kwa kushupaza shingo..Hayati J.K.Nyerere aliwatahadharisha kwa kusema"Msiyapuuze maoni ya Wananchi...CCM acheni uoga kwa kivuli cha kulinda Amani..Kwani nani amewaambia tunaotaka KATIBA MPYA hatuipendi nchi Yetu?..
 
Vyombo vya habari bongo ni vilaza watupu, wameshindwa kumuambia huyo mpiga porojo kwamba Zambia, Malawi, Namibia na Ghana marais wao walikufa wakiwa madarakani na mambo yakaendelea kama kawaida tu!
 
Wanajua vipindi vigumu hawa? Waulize Malawi, Rais Mutharika na Makamu wake Banda walikuwa vyama tofauti, na Mutharika akafariki
Zambia, Ghana na Namibia pia marais wamefariki wakiwa madarakani na maisha yameendelea kama kawaida tu.
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.

Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.

“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”

“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”

Ni vyombo vya DOLA ndivyo vinavyosababisha. Kama ingekuwa ni katiba Nchimbi bado angeendelea kuwa Makamu mpaka tarehe 4 September.
 
Back
Top Bottom