BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Aisee anajitekenya na kucheka mwenyewe!
Kikubwa zaidi hawa viongozi wetu wanaangalia maslahi yao binafsi mapungufu haya yote wanayajuaMie ni a swali mkuuu ikitokea katiba mpya imepatikan wao has viongozi wataishi nje na katiba
Je nikweli kabisa hawaoni mapungufu ya hiii katiba au wanaziba masikio na macho
Maaana kwa ssa hta watu walio Isaiah class 7 wanawez kuona mapungufu ya katiba hiii
Ssa najiuliza mtu kma simba channel kweli Hannity na usomi wake wote huo
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Huu ni kweli usiopingika. Watu wanakiri kuwa Tz ilikuwa ikiheshimika sana huko nyuma kuliko sasa. Hii ni kuonyesha kuwa tatizo letu sio Katiba bali watu wanaotuongoza. Unaweza kuwa na Katiba bora sana lakini kama utapata kipngozi wa hovyo ni bure kabisa.Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Huyu naye. Kesha tambua, ukiongea ukweli unaondolewa kwenye mkate. Kaanza kuongea porojo arudishwe mezaji. Viongozi wa ccm na serikali yao ni laana kwa taifa hiliMbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Katiba ndio blueprint, hayo yote yatawekwa kwenye katiba kwamba kiongozi sahihi ni yupi na namna anavyopatikana. Upuuzi wa kuteuana kishkaji utafika kikomo.Huu ni kweli usiopingika. Watu wanakiri kuwa Tz ilikuwa ikiheshimika sana huko nyuma kuliko sasa. Hii ni kuonyesha kuwa tatizo letu sio Katiba bali watu wanaotuongoza. Unaweza kuwa na Katiba bora sana lakini kama utapata kipngozi wa hovyo ni bure kabisa.
Vyama tupatieni wagombea safi sio Katiba safi kuliko hii. Maana Katiba tunayoitaka ni ile ambayo atatuzidia changamoto nyingi zaidi.
Mwambieni kuwa 2030 hatapewa Urais Wala uwaziri mkuu aache kujikombaMbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Wewe huna exposure, ni mbumbumbu wa humuhumu mitaani. Kule Marekani Trump amemteua mkwe wake kuwa mtu muhimu huko Mashariki ya Kati na hakuna maneno ya kipuuzi mnayotaka tz iwe nayo.Katiba ndio blueprint, hayo yote yatawekwa kwenye katiba kwamba kiongozi sahihi ni yupi na namna anavyopatikana. Upuuzi wa kuteuana kishkaji utafika kikomo.
Uzuri mnajiongelesha tu kama sehemu yenu ya uhuru wa kutoa maoni.Mwambieni kuwa 2030 hatapewa Urais Wala uwaziri mkuu aache kujikomba
KAma hii Katiba imetufikisha hapa tulipo leo, hakuna haja ya nyingine maana Mwl Nyerere hayupo tena. Kule US hakuna anaetaja kuwa na Katiba mpya maana hawana George Washington na Abraham Lincolin wengine.Pita hapa www.katibampya.com kuna rasimu ya katiba yenye muundo wa mihimili minne ya dola, yaani.
1. Baraza la usimamizi wa taifa
2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
3. Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa tanzania.
Muundo huu unatoa majibu ya maswali yako yote uliyouliza hapa.
Majukumu, muundo, mipaka, mamlaka na menhineyo kuhusu Baraza yametamkwa kuanzia ibara ya 98 mbaka ibara ya 116 ya rasimu hiyo ya katiba.
Hiyo akili na mawazo kakupa nani kwamba Mwl Nyerer ndio mwenye mamlaka ya kubadiri katiba, lakini pia je uñajuà kwamba Katiba hii ilifanyiwa marekebisho kadhaa, tena kipindi nyerere wako kashakufa.....?KAma hii Katiba imetufikisha hapa tulipo leo, hakuna haja ya nyingine maana Mwl Nyerere hayupo tena. Kule US hakuna anaetaja kuwa na Katiba mpya maana hawana George Washington na Abraham Lincolin wengine.
Unachosema ni kwamba wewe iko siku utabadili jina la ukoo wenu maana huyo babu yako ni nani hadi awe na jina baya hili ambalo linakukwaza wewe.Hiyo akili na mawazo kakupa nani kwamba Mwl Nyerer ndio mwenye mamlaka ya kubadiri katiba, lakini pia je uñajuà kwamba Katiba hii ilifanyiwa marekebisho kadhaa, tena kipindi nyerere wako kashakufa.....?
Mwl Nyerere ni miongoni mwa marais wa taifa hili kama walivyo wengine nyongeza ya sifa yake ni kwamba tu ndio rais wa kwanza kinyume na hapo ni mtu kama watu wengine hivyo ana mamlaka wala nguvu kikatiba wala kisheria kuamua mabadiriko ya katiba.
Kwa mujibu wa sheria ndio unaweza kubadirisha jina hilo na kutumia jina linalofaa zaidi, pia unaweza kubadirisha hata jina lako kwa kiapo mbele ya mahakama.Unachosema ni kwamba wewe iko siku utabadili jina la ukoo wenu maana huyo babu yako ni nani hadi awe na jina baya hili ambalo linakukwaza wewe.