una kifungu specific cha katiba kinachokandamiza mkosoaji?Katiba ni imara kwa watawala kwa kuwa inalinda maslahi yenu na vizazi vyenu kinyume chake ni katiba kandamizi kwa wakosoaji na wapinzani
Huo mfumo unaosema ungekuwa serious Mzilankende asingekufa....kifo cha JPM kilitoa picha halisi...hakuna mfumo zaidi ya kikundi cha wahuni tuSimbachawene amegundua kosa lake sasa anataka kurudishwa kwenye mfumo.
Unasubiria vifungu wew kweli kenge haya nenda kapokee mgao wako pale lumumbauna kifungu specific cha katiba kinachokandamiza mkosoaji?
Huwa hawachelewi kuweweseka kwa sasa wanafurahi kwa kuwa wananufaika na utawalaHuyo siku akifinywa atalia mpaka mumwonee huruma. Hawa ndivyo walivyo. Wakiwa mezani wanakula, wanasifia kila kitu, siku wakibinywa wanakuja na kilio. Mwafrika ni nyani.
SASA NAYE AMEANZA UCHAWA KAZI IPOJe, hii ni ndio namna yake ya kutubu kwa wakubwa zake baada ya ile kauli yake kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi?
Kauli za kichawa hizi ambapo taifa limepata kumwaga damu kwa kiwango cha kutisha, kisa mojawapo ni hicho cha 'Katiba'.Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
kazi ipo.wanyakiusa wanasema mbombo ngafu.katiba inataikiwa ituletee maendeleo imara.sasa katiba yetu ina miaka zaidi ya hamsini na nchi bado ni maskini kwa sababu kuna vipengele vya katiba haviko sawa kabisa.Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Mazafaka anachanganya uimara wa Katiba na peaceful nature ya Watanzania.Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Rejea kesi ya April 1994 Rais Juvenal Habyarimana wa Rwanda na rais Cyprian Ntaryamile wa Burundi walivyouwawa baada ya Ndege Yao kutunguliwa wakati inataka kutuma mjini Kigali.he is talking bs, nchi zote duniani za kidemokrasia zina utaratibu ulionyooka wa nini kifanyike pale raisi aliyeko madarakani anapofariki, sijawahi kusikia nchi yoyote ile ambayo raisi alipofariki basi nchi ikaingia kwenye machafuko kama wanavyojaribu kutudanganya hapa, sina kumbu kumbu hata ya nchi moja dunia hii labda yeye aseme ni nchi ipi hiyo raisi aliporiki ilingia kwenye matatizo?
ni kawaida na hii ni dunia nzima aidha makamu anachukuwa kwa siku kadhaa na kuitisha uchaguzi mkuu au kama kwetu makamu wa raisi anamalizia muhula automatic sasa ni kipi kigumu na cha ajabu hapo?
low iq folks ...
Sana!SASA NAYE AMEANZA UCHAWA KAZI IPO
Mie ni a swali mkuuu ikitokea katiba mpya imepatikan wao has viongozi wataishi nje na katibaKatiba ni imara kwa watawala kwa kuwa inalinda maslahi yenu na vizazi vyenu kinyume chake ni katiba kandamizi kwa wakosoaji na wapinzani
Umeambiwa katiba ni kijitabu tu, huelewi wapi?
Lionchawene katika jitihada/JUHUDI za kutaka arudishwe kwenye BM.Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Hili jambo la katiba as it stands ni bonge la strategic ambiguity. Ni muda tu ndio utakaoamua kama kutakuwa na mchakato wa katiba mpyaMbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.