Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Daah dunia simama nishukeMbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Ni amelazimishwa kuongea baada ya tweet yake kuchafua hali ya hewa 🤣🤣🤣.Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Je, hii ni ndio namna yake ya kutubu kwa wakubwa zake baada ya ile kauli yake kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi?Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Amani ipi sasa? Au kwakuwa wenzetu wanalindwa na System maana sisi ambao hatuna Mtu huko juu ni vurugu mechi, uwe barabarani, uwe na biashara hutoboi, kupata kazi majanga yaani ni kama yatimaMbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Amani ipi sasa, labda kwakuwa wenzetu wanalindwa na mfumo, ila kwa sisi huku chini tunaishi kwa kudra ya Mungu kila kukicha unawaza kama siku itaisha salama maana kupewa kesi ni kugusa tu uwe barabarani, biashara au hata ukipata kibarua unaweza usilipwe na huna cha kumfanya TajiriSentensi inayofaa hapa ni "...bado watanzania wamelala, watawala wanafanya lolote wanalojisikia bila kujali wananchi watafanya nini"
Kusingizia uimara wa katiba ni uzwazwa tu kwasababu pamoja na ubovu wake na uimara wao, vipengere vinavyowagusa mbona wanavikanyaga?
Kwa mfano, wamemuapisha Makamu wa Rais wakati kabla ya aliyeko madarakani hajajiuzuru rasmi
Kipengere gani kinasema "akifukuzwa uanachama anakoma kuwa makamu wa Rais?
Sio swala la ubora wa Katiba yetu,Bali utamaduni wetu wa uvumilivu!Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
Uwaziri ulitemwa! Tulia sasaMbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema Katiba ya Tanzania imeonyesha uimara mkubwa kwa kuiwezesha nchi kuvuka vipindi mbalimbali vya changamoto bila kuingia katika machafuko. Amesema licha ya kuwepo kwa mjadala na ukosoaji kuhusu baadhi ya mapungufu ya Katiba hiyo, imekuwa msingi muhimu katika kuhakikisha Serikali inaendelea kufanya kazi kwa utulivu.
Soma pia >> Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko
Simbachawene amesema mfano mkubwa ni kipindi ambacho Tanzania ilimpoteza Rais John Magufuli, ambapo mchakato wa kumpata Rais mwingine na kuunda Serikali ulienda kwa utulivu bila fujo wala vurugu.
“Kimsingi, uimara wa Katiba yetu, pamoja na kelele zote zinazopigwa, bado Katiba yetu ni imara na imetupitisha katika vipindi vigumu.”
“Nyinyi mnakumbuka kwamba tulifiwa na Rais hapa, Magufuli, na katika kufiwa kule tukaweza kumpata Rais na kuunda Serikali bila matatizo yoyote.”
😹😹😹 dah!Huyu maradhi yanamsumbua