Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025


Simbachawene na Gwajima wa Chama gani unaowazungumzia??
 
Eti Gwajima, aliahidi kufufua misukule , akashindwa kumfufua Mwendazake.
Halafu ndio aifufue nchi?
Subutu!
Kwajima aliingia kwenye siasa kwa ushawishi wa Magufuli hivyo bunge likivunjwa anarudi kufufua misukule.
Samia hata ajipambe vipi hawezi pendeza mbele ya Gwajima kwasababu huyu askofu hana Imani na Marais wenye majina ya kiislamu!.
 

Attachments

  • Askofu_Ngwajima_amtukana_Askofu_Mkuu_Pengo(360p).mp4
    14.5 MB
Kwajima aliingia kwenye siasa kwa ushawishi wa Magufuli hivyo bunge likivunjwa anarudi kufufua misukule.
Samia hata ajipambe vipi hawezi pendeza mbele ya Gwajima kwasababu huyu askofu hana Imani na Marais wenye majina ya kiislamu!.
Hapa alipiga kitu cha Njombe
 
Ila Gwajima ataongea mengi sana mpaka uchaguzi maana anaonesha hamkubali Mama hata kidogo!
Kawe pia sio rahisi kushinda maana alibebwa tu na mambo ya Magufuli!
 
Urais upi wakati fomu iko moja tu na imepitishwa bila kupingwa na makende yao.
Hao wakigombea ni comedian tu hamna kitu.
 
Huyu Gwaji boy ambae mkono wake aliukana nakusema ni wa Baunsa siatakuja kutukana wananchi asubuhi na mapema?
 
Tanzania ni nchi ya majitu mapumbavu ndiyo maana hata wapumbavu wanawaza kutuongoza! Yaani Makolo ChaWene Naye awe Rais jamani? Hiki cheo kimeshuka hadhi sana! CHADEMA wakifungua mlango tu na mimi naenda kuchukua fomu! Yote hii ni pale andazi kutoka Msoga lilipoweza kupata na andazi jingine limetoboa!
 
Hv huoni ht haya? We ni zaidi ya mwehu. Hv watu wengine mna nini mbn mpumbavu hv?
 
Kwajima aliingia kwenye siasa kwa ushawishi wa Magufuli hivyo bunge likivunjwa anarudi kufufua misukule.
Samia hata ajipambe vipi hawezi pendeza mbele ya Gwajima kwasababu huyu askofu hana Imani na Marais wenye majina ya kiislamu!.
Pengo alikipata aisee sijui hili battle na gwaj boy liliishiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…