Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

Wewe nimekulewa sana!wapanga miiba barabarani Ili mwenyekupita ashindwe apite mwingine!!

Hapo sawa!
 
Mzee Wa Msoga huwa anaongea Kwa Code kali sana, Nimemskia Leo Msoga akichagiza Yajayo yanafurahisha, Watanganyika Bana
Kaongea nini?
Wanadamu hupanga , Mungu hupanga pia.
Mipango ya binadamu sio mipango ya Mungu.
 
Inawezekana TANZANIA ikawa nchi yenye vichaa wengi au wajinga wengi. Hao wagombea watapitishwa na vikao gani vya chama sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…