johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wameongea ukweli!Hiyo kauli yake inafanana na ile aliyowahi kuitoa Dr. Slaa kuhusu kushambuliwa Lissu, naamini mwalimu wao atakuwa ni mmoja.
Tayari Mmoja Kibarua kimeshaota nyasi.Hiyo kauli yake inafanana na ile aliyowahi kuitoa Dr. Slaa kuhusu kushambuliwa Lissu, naamini mwalimu wao atakuwa ni mmoja.
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye kwa tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa usawa.
Simbachawene amesema ifike mahali watanzania waelewe jukumu la polisi ni kulinda raia wote na mali zao kwa usawa na isionekane fulani ni muhimu kuliko fulani.
Chanzo: ITV
Unadhani Tundu ni special sana kuliko vijana na wamama waliouliwa arusha na sehemu zingine na watu wasiojulikana?Simbachawene, inua macho yako juu, mwombe Mungu wako wa KWELI ayape KIBALI maneno yanayotoka kinywani mwako yasiwe ya kinafiki
Yangachawene anasemaje vile?yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine
Porojo tuAkijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye kwa tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa usawa.
Simbachawene amesema ifike mahali watanzania waelewe jukumu la polisi ni kulinda raia wote na mali zao kwa usawa na isionekane fulani ni muhimu kuliko fulani.
Chanzo: ITV
Wa hovyo sana siku hiziSimbachawene, inua macho yako juu, mwombe Mungu wako wa KWELI ayape KIBALI maneno yanayotoka kinywani mwako yasiwe ya kinafiki
Tunaweza kusema ni sawa lakini hii ni funika kombeWewe
Unadhani Tundu ni special sana kuliko vijana na wamama waliouliwa arusha na sehemu zingine na watu wasiojulikana?
Watu wote ni sawa hivyo tulirni na kama mna ushahidi nenda polive upeleke kwa yule unamtetea.