Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
DUH!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka siku moja tupo pale Iringa Road kwenye yard ya Urafiki (jirani na Kito Bar ya marehemu Kanji) na kaka yangu Chove,alifokewa kama kidampa fulani kwa kupoteza mzigo wa abiria.Simbachewene alikuwa utingo kwenye mabasi ya urafiki ruti ya mpwapwa - dodoma kwahiyo kichwani hamna kitu.
Watu hawamjui huyu jamaa kichwani hamna kituNakumbuka siku moja tupo pale Iringa Road kwenye yard ya Urafiki (jirani na Kito Bar ya marehemu Kanji) na kaka yangu Chove,alifokewa kama kidampa fulani kwa kupoteza mzigo wa abiria.
Mpuuzi.... Naona Siku zake zinahesabika.Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa usawa.
Simbachawene amesema ifike mahali watanzania waelewe jukumu la polisi ni kulinda raia wote na mali zao kwa usawa na isionekane fulani ni muhimu kuliko fulani.
Chanzo: ITV
Aende kumfokea na sasa!Nakumbuka siku moja tupo pale Iringa Road kwenye yard ya Urafiki (jirani na Kito Bar ya marehemu Kanji) na kaka yangu Chove,alifokewa kama kidampa fulani kwa kupoteza mzigo wa abiria.
Ndiyo maana amepewa qenzie ambao hawana kitu pia.Watu hawamjui huyu jamaa kichwani hamna kitu
Simbachawene, leo kwa sababu yupo ndani ya V8 ya Serikali, huku akiwa amezungukwa na kulindwa na Polisi aliosema kuwa hawana akili kubwa, anatapika chochote kilicho karibu na mdomk, lakini zinakuja nyakati ambazo ataomba wakati ungerudi nyuma ili asiropoke kama binadamu asiyekamilika.Simbachawene, inua macho yako juu, mwombe Mungu wako wa KWELI ayape KIBALI maneno yanayotoka kinywani mwako yasiwe ya kinafiki
Nafikiri kuwa utingo kunahitaji akili ndogo zaidi kuliko hata kulinda benki,Simbachewene alikuwa utingo kwenye mabasi ya urafiki ruti ya mpwapwa - dodoma kwahiyo kichwani hamna kitu.
Leo ni Waziri etiSimbachewene alikuwa utingo kwenye mabasi ya urafiki ruti ya mpwapwa - dodoma kwahiyo kichwani hamna kitu.
Haya maajabu unaweza yaona Katika Taifa la TZ pekee, Katika Dunia hii!Siro alisema faili limefungwa.
Waziri anasema uchunguzi unaendekea.
Haya ni matokeo ya Taifa lililo fitinika
Ccm inawalinda wahalifu usitegemee kitu mkuuShahidi muhimu si ameshafariki? Anyway, wengine wote waliohusika wapatikane na wafikishwe kwenye mkono wa sheria japo haki iliyocheleweshwa ni sawa na haki iliyonyimwa.
Hahaaaaa.........😁Ndiyo maana amepewa qenzie ambao hawana kitu pia.
Kuna siku atasema kuwa kuwa Waziri wa Polisi ni lazima uwe na uwezo mdogo, kwa sababu wenye akili kubwa hawawezi kukubali kuwa mawaziri wa watu wenye akili kidogo.