Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

Majibu yale yale yaliyozoeleka.
Serikali inawafahamu na bila kupepesa macho ilihusika katika jaribio hili la aibu.
 
Laana hii haitawaacha katika furaha. Wote mtakwisha kama mlivyotaka asiishi. Mungu ni Fundi.
 
Simba Chawene!!! Simba Chawene!!! Simba Chawene!!! Nakuita X 3

Tafadhali Ndg. yangu ya Kaizari muachie Kaizari ya Mungu yape heshima na adabu. Nafikiri umeyaona ya Subwoofer yalipo ishia ...

Angalia kaka barabara ina mawe hii ukitembea angalia chini utajikwaa bila ya kutegemea ung'oe ukucha, kuna watu wanadam kali duniani shauri yako ...

Ya Siro hayooo yanaanza taratiiibu kama utani vile, mwisho wake utauona utakavyokuwa. Sasa wewe badala ya kuchutama utafakari, unamchongelea Mungu mdomo, Mungu sio Sele Bonge anamipango yake shauri yako ...

Hujuilizi tu mpaka leo? Hushangai mpaka sasa, Risasi 38!!! Kumbuka shahidi No. 1 mwenyewe alishatangualia mbele ya haki sasa'ivi anakula marungu huko Jehanamu na LEGACY yote imepotea licha ya kuimbiwa mapambio kibao Je, wewe ni nani Simbachawene ...

Haya usijesema hatukukwambia ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…