PostGE2025 Simbachawene: Rais Samia ameagiza mabadiliko Polisi ili kurejesha mahusiano mazuri na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
..Simbachawene alihusika kuhujumu 4R, na kukwamisha mabadiliko ya sheria za uchaguzi, na matokeo yake tumeyaona katika uchaguzi wa Oct 29.

..yote ambayo anasema atayafanya sasa hivi yalisemwa na wapinzani kwa muda mrefu, na Rais Samia na watu wake walikuwa na muda wa kutosha wa kuyatekeleza mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2021.
Tume ya Jaji Chande iliwasilisha taarifa kwa Rais Mwaka jana. mapendekezo yakawekwa kabatini
Baada ya kutumia '' Police force'' na kufanikiwa uchaguzi sasa wanataka 'Police services'' kama alivyoshauri Jaji Chande. Sasa hivi wanawasukumia mzigo na kuwakana Polisi ili ionekane MO29 ni ya Polisi!

Badala ya kutekeleza mapendekezo ya Tume Haki jinai, walinunua magari mengi kwa Police force!
Ni ulaghai tu wa kujikosha na kuwatupia mzigo Polisi. Wananchi wamelalamika kuhusu Polisi siku nyingi

Taratiibu! wanajitoa na kuwaachia msala Polisi! J4 na wenzake wanaelekezwa the Hague kisayansi
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.

Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.

"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene

Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.

"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene

"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.

Chanzo: Nipashe
Kinachotakiwa kubadilika kwanza kabisa kabla ya yote ni yeye Samia na genge lake kujiuzulu au kuondelewa.
 
Wanaongea upumbavu!
 
Polisi hawa walioua maelfu ya watoto wetu tena wengi wakiwa majumbani na mitaani kwao ndiyo tuwe na mahusiano mazuri nao? Never, hawa watabaki kuwa adui wa wananchi kwani wamekubali kuua watoto wetu ili kulinda Urais wa Samia.
 
Hili jeshi limelalamikiwa kwa miaka mingi kuwa na mfanano wa kila kitu na jeshi la enzi za ukoloni. Nguvu nyingi, akili kisoda! Kuitumikia serikali na kuwatelekeza wananchi, nk.

Kimsingi wananchi wako sahihi kuwaombea mabaya polisi. Kupitia dhuluma, uonevu, mauaji, utesaji, na kila aina ya uovu; hakuna mwananchi mwenye akili timamu anaweza kuwapenda.
 
Halafu anatokea fara anakwambia GEN Z HAWANA IMPACT TZ!!! shenzi.

Nashangaa na kusikitika mpaka muda huu polisi wanaishi kwa amani mtaani licha ya kufanya mauaji ya kimbali. HIVI NI KWELI TUMEWASAMEHE AU TUMEWASHINDWA??? SERIOUS????

Au tumesahau kama wao wanavyosema kuwa wanaweza kufanya chochote na watanzania tutapiga kelele miezi kadhaa af tutasahau!!!

MPAKA MUDA HUU, HAKUNA HATA OFF TARGET HATA MOJA TO HER!!!

Wametudhibiti kwa risasi kwa kuwa sisi hatuna siraha, LETS DO UNDERGROUND ASSA*SSINA*TIONS TO THE M*THE*R FUC*K*E*R*S!

LET'S MAKE THEM FEEL THE PAIN OF MO29.
 
Mnakosea kujumuisha watu wote kwenye misimamo yenu..... Ridha ilitolewa kwa walotaka. Ungetoaje ridhaa na hukushiriki uchaguzi.??
Ushiriki kwenye uchaguzi uliopangwa matokeo? Ama ulitaka washiriki kama fashion?
 
Mambo ya kupaka wanja nguruwe yanaendelea, wanataka wabadili jina la Police force kwenda police service halafu waje waseme tumefanya reforms kwenye jeshi la police kama walivyobadili jina la Tume ya uchaguzi na kuongeza neno huru wakasema wamefanya reforms.

Huu utawala haukuchaguliwa na actually Police ndo wanafanya siasa na kuongoza serikali hawana cha kuwafanya wala kuwashauri.

Yeye mwenyewe majuzi kasema watu wasikamatwe kihuni na baada ya siku moja police wamempuuza na kuendeleza mishe zao za utekaji.

This is a garbage Government it should be put into 🗑️
 
Ushiriki kwenye uchaguzi uliopangwa matokeo? Ama ulitaka washiriki kama fashion?
Sijaongelea kupangwa matokeo hapo mkuu.... Ila hukushiriki wewe na wenzako wapo walioshiriki na waliyategemea matokeo... Ujasiri wa kudai mabadiliko ningeuunga mkono kama tungeshirikia na tukauona umafia wa wizi.

Hujashiriki unadai vip mabadiliko katiba inasemaje??? Kupiga au kutokupiga kura sio lazima kikatiba kama ilivyo kwa chama kushiri au kutoshiriki. Uliamua kutoshiriki ni haki yako ila jua madhara ndo haya.

Mlituangusha watanzania wapenda mabadiliko ya kweli na si ya mezani na kulazimishana kama haya.
 
Utapeli wa kisiasa, ila miaka mitano sio mbali kitawaka tena kuliko kile
 
Sijaongelea kupangwa matokeo hapo mkuu.... Ila hukushiriki wewe na wenzako wapo walioshiriki na waliyategemea matokeo... Ujasiri wa kudai mabadiliko ningeuunga mkono kama tungeshirikia na tukauona umafia wa wizi.

Hujashiriki unadai vip mabadiliko katiba inasemaje??? Kupiga au kutokupiga kura sio lazima kikatiba kama ilivyo kwa chama kushiri au kutoshiriki. Uliamua kutoshiriki ni haki yako ila jua madhara ndo haya.

Mlituangusha watanzania wapenda mabadiliko ya kweli na si ya mezani na kulazimishana kama haya.
Kilichofanyika 2019, 2020 na 2024 ndio kilichofanyika 2025, unashiriki vipi chaguzi za aina hiyo ukitegemea matokeo tofauti? Ni upuuzi gani haukuonekana huko nyuma hadi watu waendelee kushiriki katika mazingira hayo hayo? Tena mshukuru tuliandamana bila silaha. Safari hii tutakamata silaha kabisa ndio mjue hatuwezi kuwa waoga na wajinga muda wote.
 
Simbachawene atapambana na task force inayomsikiliza Abdul? Atawezana na vigenge vilivyo nje ya mfumo? Huyu huwa ni mtu mzuri sana, tatizo mfumo wa sasa hauendani nae..
 
Back
Top Bottom