PostGE2025 Simbachawene: Rais Samia ameagiza mabadiliko Polisi ili kurejesha mahusiano mazuri na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Safi kabisa...

Simbachawene big brain namkubali sana mwamba
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.

Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.

"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene

Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.

"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene

"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.

Chanzo: Nipashe
Huu ni mtazamo na mawazo ya Simbachawene na wala si mtazamo na matamanio ya Samia. Simbachawene anajaribu kumuingiza tu Samia ili asionekane ana mtazamo tofauti na Boss wake.

Tume ya haki jinai ilishatoa report yake tangu 2023. Samia alikuwa wapi kuitekeleza? Badala yake ndo jeshi na vyombo vingine vya usalama vikageuka kuwa watekaji na wauwaji.

Simbachawene ni mtu muungwana. Lakini asichojua ni kwamba yuko mikononi mwa watu wasio na uungwana. Atatumbuliwa kuhakikisha mawazo yake hayafanyiwi kazi
 
..Simbachawene sio muungwana, ni laghai.

..yeye ni mmoja wa Mawaziri waliohusika kupiga danadana 4R za Rais Samia halafu baadae wakaja kusema muda hautoshi kufanya reforms.
 
Ni kweli wanajaribu kutafuta njia za kuwalaghai wananchi lakini hawana dhamira ya kweli.
Jambo kubwa kama hili la transformation kama Samia angekuwa na nia ya dhati lingetoka kinywani mwake mwenyewe. Asinge agiza kimya kimya.

Huyu Simbachawene kajitungia tu na kumlisha Rais maneno
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.

Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.

"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene

Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.

"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene

"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.

Chanzo: Nipashe
Tatizo siyo polisi bali wanaolitumia vibaya. Rais awajibike kwanza. Kinachofanyika ni kuwatwisha lawama polisi. Ni janja ya kujinasua na kuonekana anadai.
 
Ameagiza kwa sheria ipi itakayolinda hayo maagizo au yanaelea kama tume aliyoteua
 
Mwendo ni uleule yakipata AJALI nikuyaangalia TU mauaji hayo tuna kazi na nyinyi one day mta dondoka TU mtake msitake
 
Mabadiliko bado ni batili iwapo Wambura bado ni IGP
 
Na kmkm walio ua wabara nao mnawabadilisha, anyway usipqnic atakae ua kwa upanga ata dondoka kwa upanga, tuwe wavumilivu
 
Baada ya kupata kiti na kuuwa watu ndiyo anataka kuleta janja janja danganya toto kwa huo ujinga wake, Wananchi hawamtaki kama hatoachia kiti basi wananchi watamshitakia kwa MUNGU ili wapewe Haki zao wanazotaka.

Watu wameshuhudia Ndugu zao wakikamatwa wakiwa wazima wakipandishwa kwenye Magari ya Polisi, kesho yake wanafika Polisi wanaambiwa waende Mochwari wanafika mochwari wanaouta Miili ya Ndugu zao lakini wanakatazwa wasichukue Miili hiyo hadi watoe Rushwa ya Milioni 1 - Milioni 5 ndiyo wapewe Miili ya Ndugu zao kama hawana hawapewi Miili ya Ndugu zao. Ndugu wanajichanga wanaotafuta Milioni 2- Milioni 3 ili watoe Rushwa kwa Polisi wapewe Miili ya Ndugu zao wanarudi tena mochwari wanaouta mwili wa Ndugu yao waliuona Jana lakini leo haunokani wanajulishwa Polisi hao hao wamechukua mwili wa mpendwa wao wameenda kuzika kibabe katika makaburi ya Halaiki huko Ununio. Wanarudi tena Oysterbay Polisi wanakutana na Polisi wapenda Rushwa wanakabidhi Milioni 2 kwa matumaini wapewe mwili wa Ndugu yao ili wakazike kwa kupewa ahadi watapigiwa simu kwenda kutambua mwili wa Ndugu yao, hiyo simu mpaka leo Ndugu wanasubiria na HAWAJAWAHI kupigiwa.

Ila huu ukatili ipo siku MUNGU atasikia maana MUNGU husimama na wanao onewa katika hii Dunia.

Asante
Chuki haziwasaidii, Tanzania haijawahi kuongozwa na malaika. SSH tunae mpaka October 2030 iwapo Mungu atapenda.

Mnajazwa habari za kichochezi mpaka mnapoteza uwezo wa kufikiria kwa akili za kawaida kabisa.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.

Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.

"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene

Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.

"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene

"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.

Chanzo: Nipashe
Hatudanganyiki
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Ushauri mwingi ulitolewa kuhusu kufanya mabadiliko kabla ya uchafuzi mkatia pamba masikioni. Sasa mmekaa madarakani bila ridhaa ya wananchi mnataka ushirikiano. Ushirikiano gani wakati hamko madarakani kwa ridhaa ya umma?
Mnakosea kujumuisha watu wote kwenye misimamo yenu..... Ridha ilitolewa kwa walotaka. Ungetoaje ridhaa na hukushiriki uchaguzi.??
 
Mabadiliko pekee ni yeye kuondoka. Hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa nchi hii.
Ulaghai wake sasa haufanyi kazi tena.
 
Mnakosea kujumuisha watu wote kwenye misimamo yenu..... Ridha ilitolewa kwa walotaka. Ungetoaje ridhaa na hukushiriki uchaguzi.??
Ina maana wewe hujui chochote kuhusu uchaguzi huo, au ni kuwa kama nguruwe tu unayefugwa na huyo Samia; kwamba unajifanya hujui chochote kinachohusiana na uchafuzi huo!
 
Back
Top Bottom