Simi yuko underrated sana

Simi yuko underrated sana

Kweli wanamuziki waliopitia makanisani wanaimba kinyama
wanamuziki karibia naowajua walianzia kuimba kwaya makanisani wote wanasauti za uhalisia wa kuimba...lady jay de, kanyamozi, kidumu, john legend, simi, na wengine wengi sanaa.
hata ukiusikiliza muziki wanaouimba unafanana sana pamoja na kutokea mataifa tofauti tofauti na kutumia lugha tofauti,,,,ila kuna mtu hapo juu kamtaja camila cabello aisee yule mrimbwende anaimba sana bila kumsahau anne marie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa level ya umaarufu wa tiwa na mafanikio aliyonayo kumfaninisha tiwa na huyo simi ni uchizi .. Mnastahiki kupelekwa milembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tiwa kufanya tu background vocals na mtu kama whitney Houston tayari ilimpa nafasi ya kukutana na music coaches wakubwa duniani hivyo kuwa na control ya sauti yake ni kawaida. Ukifikiria hiyo exposure na kuchukuliwa na record label kubwa kama Mavins na katika kipindi ambacho muziki wa nigeria unakuwa sana bila kuwa na female figure bhasi mafanikio yake yalikuwa given.

Kwa simi ni habari ingine, kakuta watu wakubwa wengi kama Tiwa na Yemi lakini kutokana na sauti, lyrics na ile originality yake akatengeneza lane ya peke ake. Nigerians wanamuheshimu sababu yupo unique na ametoboa bila kwenda na popular music.

Hakuna wa kumlinganisha na simi ila kuna utitiri wa wanaoimba km tiwa, thats their difference
 
Kwa simi ni habari ingine, kakuta watu wakubwa wengi kama Tiwa na Yemi lakini kutokana na sauti, lyrics na ile originality yake akatengeneza lane ya peke ake. Nigerians wanamuheshimu sababu yupo unique na ametoboa bila kwenda na popular music. Hakuna wa kumlinganisha na simi ila kuna utitiri wa wanaoimba km tiwa, thats their difference
Back vocal wa Whtney Houston au Mery J??
 
Alifanya back vocals kwa wasanii wengi ila whitney alikutana nae kwenye album yake ya mwisho. I look to you. Tiwa alistrugle sana kutoka nje ila ikawa ngumu na alipochukuliwa na the mavins ndo akatoboa kwa Africa na kwa sasa anaenda mbele zaidi
 
Basi kuna mtu alinidanganya alinambia aliwahi kufanya kazi na Beyonce
 
Nasikiliza hii nyimbo mpya ya Simi inaitwa Duduke Daaah huyu Simi ni Underrated...

Hawa kina Yemi Alade,Tiwa Savage sijui wanampitaje kimafanikio..

Lakini mziki wa Simi ni Quality saana...Kama Camila Cabello wa Afrika

Hii ngoma imetrend tz sana kwa wadada
 
Basi kuna mtu alinidanganya alinambia aliwahi kufanya kazi na Beyonce
Sikuwahi kujua nimeangalia kwa net time hii ni kweli na amefanya back vocals hata kutunga nyimbo za wasanii wengi wakubwa pia.
 
Tiwa kufanya tu background vocals na mtu kama whitney Houston tayari ilimpa nafasi ya kukutana na music coaches wakubwa duniani hivyo kuwa na control ya sauti yake ni kawaida. Ukifikiria hiyo exposure na kuchukuliwa na record label kubwa kama Mavins na katika kipindi ambacho muziki wa nigeria unakuwa sana bila kuwa na female figure bhasi mafanikio yake yalikuwa given.

Kwa simi ni habari ingine, kakuta watu wakubwa wengi kama Tiwa na Yemi lakini kutokana na sauti, lyrics na ile originality yake akatengeneza lane ya peke ake. Nigerians wanamuheshimu sababu yupo unique na ametoboa bila kwenda na popular music.

Hakuna wa kumlinganisha na simi ila kuna utitiri wa wanaoimba km tiwa, thats their difference
nadhani wewe ndiye umekata mzizi wa fitna kwa uzi huu...kongolee kwako mkuu.
 
Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
nadhani hii ni tamadunu yao
maana psquare walifanya hiv hiv kwa dingi yao pia
 
Back
Top Bottom