Simiyu: Baada ya kutenguliwa Ukuu wa Mkoa, Kafulila amshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kulitumikia Taifa

Siyo rahisi kuondolewa bila sababu ya msingi.Kwa nje alionekana mchapa kazi,lakini kwa ndani alikuwa na yake
 
Ni muda sasa umefika Wakuu wa mikoa wawe chaguo la Wananchi na siyo Rais..... Katiba mpya sasa.
 
Pole tumbili tutakumis kupitia hii ID hapa JF
 
Kaya gani wakati alisha achwa na Kishoa??
 
Chadema mnafanya sherehe,

Note, Rais wangu Samia unapomwondoa mtu na wanaofurahia ni Upinzani, Si afya kwa Chama chetu
Bora umeligundua hili. Na tuwe makini kwa wale wanaowasifia.
Uliona waivyokuwa wakilia Kingai kuteuliwa DCI? Sasa basi tunahitaji akina kingai wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…