Pre GE2025 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM.

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Luguru, wilayani Itilima.

Ndugu Kilugala, akizungumza kwenye mkutano huo, amesema mbali na Chadema kuwatumia vibaya viongozi na wanachama wake, kisha kuwaacha ‘watupu’ wakiangaliana wenyewe kwa wenyewe, uongozi wa CCM na utendaji kazi wa serikali yake, chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, vyote vimemfanya arudi nyumbani.

“Tulikuwa tunaenda Mwanza siku mbili kwa ubovu wa barabara, leo tunaenda na kurudi. Lazima tuseme ukweli, CCM imefanya kazi, lakini wenzetu wamebakia kusema uongo na kututumia vibaya. Kuna wabunge wa COVID-19, lakini ndani yake wamo wake zao, alafu huku wanatudanganya.”

Balozi Nchimbi, akiwapokea, amesema:

“Hawa ndugu zetu wameona mbali mapema, maana viongozi wakubwa kama Peter Msigwa kaona shida zao, wewe unasubiri nini? Rudini CCM, na nawapongeza wote mliojiunga na CCM, viongozi pamoja na wanachama. Karibuni sana tufanye kazi ya kujenga taifa pamoja.”

Soma Pia: Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
CHADEMA ndio imekufa kabisa katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.ndio maana unaona hata maandamano yalifeli kabisa mpaka kufikia hatua ya kukosekana kabisa watu wa kuandamana zaidi ya Mbogwe ,mke wake na mwanae ambao wana maslahi yao ndani ya CHADEMA
Wanahisi kwenye SACCOS
 
What's wrong,

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapokea wanachama zaidi ya 60 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu

Mapokezi hayo yamefanyika wakati Dkt. Nchimbi akiwa katika ziara yake mkoani Simiyu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Itilima na wafuasi wake wamehamia Chama cha Mapinduzi CCM ambapo Dkt. Nchimbi amesema wanachama wamehamia CCM kwa kuona maendeleo na kazi nzuri inayofanywa na Viongozi wa chama hicho.

"Ndugu zetu kutoka upinzani, zaidi ya 60 wamejiunga na CCM leo na wamejiunga baada ya kushawishika na kazi nzuri za maendeleo zilizofanyika lakini pia wamefarijika na kazi zinazofanywa na mbunge wenu” Amesema Dkt. Nchimbi.

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

Sh. 60 tu, kweli mumeishiwa SERA..
 
Kwanini wasikimbie kwa kuogopa kuuwawa? Maana mnawajua sasa kilichokuwa kinafuata ni kuwauwa na kuwateka kwa kuwapeleka maporini. ccm ni wauwaji lazima tuogope. CCM tunawaogopa sababu hamuwezi hoja zaidi ya kuuwa wasiowakubali
 
It's normal kwa siasa! Ni haki yao! Wala sio lazma kubaki Chadema 😃 Uhuru wa kimedokrasia
 
What's wrong,

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapokea wanachama zaidi ya 60 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu

Mapokezi hayo yamefanyika wakati Dkt. Nchimbi akiwa katika ziara yake mkoani Simiyu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Itilima na wafuasi wake wamehamia Chama cha Mapinduzi CCM ambapo Dkt. Nchimbi amesema wanachama wamehamia CCM kwa kuona maendeleo na kazi nzuri inayofanywa na Viongozi wa chama hicho.

"Ndugu zetu kutoka upinzani, zaidi ya 60 wamejiunga na CCM leo na wamejiunga baada ya kushawishika na kazi nzuri za maendeleo zilizofanyika lakini pia wamefarijika na kazi zinazofanywa na mbunge wenu” Amesema Dkt. Nchimbi.

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

Sio kweli na imekanushwa na JamiiCheck
 
Wameikimbia saccos?
 
JamiiCheck wamethibisha taarifa si ya kweli, Acheni upotoshaji, :SI KWELI - Mwenyekiti na Katibu wa CHADEMA wilaya Itilima wamehamia CCM

1728417671377.jpeg

Back
Top Bottom