Basi iwapo ni hivyo niwape pole,ila hawajatuhabarisha kuhusu ajali hiyo.Mnadani kaka malori yameshapigwa marufuku kitambo sana kusafirisha abiria,mizigo hubebwa kwenye malori na fuso ila wafanyabiashara wao hutumia usafiri mwingine ila kwa kuwa ni maccm inawezekana tu kuvunja sheria na kubeba watu kwenye malori
Kama ni kweli basi SAAFI SANAKuna taarifa za ajali ya lori lililokuwa limebeba makada wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kufanyika wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu usiku wa kua leo Juni 17, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe alipoulizwa kuhusu taarifa hizo, amesema: "Niko barabarani tutatoa taarifa mtaipata muda si murefu."
Tunaendelea kufuatilia.
Bora waf..e wote CCM ibakiKwanza ni dharau na ni uvunjifu wa sheria za usalama barabarani. Polisi wamefumbia macho uvunjaji wa sheria za usalama barabarani kwa kuacha raia wapakiwe kama mizigo. Kama CCM wanaheshimu wananchi kwa nini wasiwapakie kwenye mabasi staha? Wana mabasi chungu nzima hata kama wameyabandika maandishi ya kampeni wangeyatumia tu kubeba wananchi hao kistaarabu. Kwa mtindo huu wa kishenzi kubeba watu kwenye malori ya mizigo wananchi hawa watabebwa sana wakati wa kampeni ili tu kujaza mikutano ya kampeni ionekane imehudhuriwa na nyomi kubwa. Ni ubunifu wa kijinga sana kusomba watu toka mbali kuja kujaza mkutano. Kuna wakati ukizubaazubaa unatelekezwa na kuachwa na malori hayo kurudi utajibeba mwenyewe. Acheni wananchi waje wenyewe kwa usafiri wa hadhi yao na sio malori ya mizigo, CCM hashimuni wananchi
Wameku..fa mia ngapi ,wajin..a sanaKama ni kweli basi SAAFI SANA
akili zipo, huwezi kunisomba kimzobemzobe, halafu thamani yangu ni kubwa, ili unisombe itabidi ugharamike pakubwa, huwezi kunipandisha kwenye lori la mizigo kenge we!Wewe mbona ujasombwa?
Wangeku..... f wote tuWameku..fa mia ngapi ,wajin..a sana
Safi bora wangekufa wote, mnasombwa kwenda kula wali nyama na pombe mwenzenu anapiga pesa za nchiKuna taarifa za ajali ya lori lililokuwa limebeba makada wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kufanyika wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu usiku wa kua leo Juni 17, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe alipoulizwa kuhusu taarifa hizo, amesema: "Niko barabarani tutatoa taarifa mtaipata muda si murefu."
Tunaendelea kufuatilia.
wakibaki wao watamalizana wenyewe kwa wenyewe kenge waleBora waf..e wote CCM ibaki
Tshirt xenye picha ya mama, pilau na khanga vina thamani kuliko utu waoakili zipo, huwezi kunisomba kimzobemzobe, halafu thamani yangu ni kubwa, ili unisombe itabidi ugharamike pakubwa, huwezi kunipandisha kwenye lori la mizigo kenge we!
SanaaaaaaaaaChadema watafurahi sana
chadema wanaingiaje hapo we kenge wa kijani?Chadema watafurahi sana
akili zipo, huwezi kunisomba kimzobemzobe, halafu thamani yangu ni kubwa, ili unisombe itabidi ugharamike pakubwa, huwezi kunipandisha kwenye lori la mizigo kenge we!
shame on themTshirt xenye picha ya mama, pilau na khanga vina thamani kuliko utu wao
think twice before hujafanya jambo kama lile kupakia watu kama mizigo. Halafu acha kubishana na mimi utakula ban au utajificha nisione comment zako, tuliza mzuka kenge weKwa hiyo ni kosa la ccm au waliosombwa? Unakuja taratibu we Mbwira
Kuwa makini kutukana watu mtandaoni utakuja umtukane kibenten wa mamaakochadema wanaingiaje hapo we kenge wa kijani?
🤣🤣🤣Tshirt xenye picha ya mama, pilau na khanga vina thamani kuliko utu wao