Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mungu Mkuu, tunauona Mkono wake.Kuna taarifa za ajali ya lori lililokuwa limebeba makada wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kufanyika wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu usiku wa kua leo Juni 17, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe alipoulizwa kuhusu taarifa hizo, amesema: "Niko barabarani tutatoa taarifa mtaipata muda si murefu."
Tunaendelea kufuatilia.
WafeeeeeeeerKuna taarifa za ajali ya lori lililokuwa limebeba makada wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kufanyika wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu usiku wa kua leo Juni 17, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe alipoulizwa kuhusu taarifa hizo, amesema: "Niko barabarani tutatoa taarifa mtaipata muda si murefu."
Tunaendelea kufuatilia.
nimemtukana nani? Prove hayo matusi. Acha kunipakazia, unabisha ni kama we si kenge?Kuwa makini kutukana watu mtandaoni utakuja umtukane kibenten wa mamaako
Nchimbi na Saa100 wangekuweno ningekuunga mkono kauli yakoMungu Mkuu, tunauona Mkono wake.
Nimekusamehe maana nikitoa laana yangu inakufikianimemtukana nani? Prove hayo matusi. Acha kunipakazia, unabisha ni kama we si kenge?
full loryWafeeeeeeeer
laana isiyo na sababu haiwezi kumfikia mtu, sanasana utajilaani mwenyewe, epuka kutoa laana kiholela mjubaNimekusamehe maana nikitoa laana yangu inakufikia
Shida utakuta ni Watanzania ambao ni masikini sana waliohaidiwa tshirts au 5000 ndio wanaopata dhahma hiyo.Itakuwa jambo jema kama ni viongozi wa ccm.
Haina kwerelaana isiyo na sababu haiwezi kumfikia mtu, sanasana utajilaani mwenyewe, epuka kutoa laana kiholela mjuba
think twice before hujafanya jambo kama lile kupakia watu kama mizigo. Halafu acha kubishana na mimi utakula ban au utajificha nisione comment zako, tuliza mzuka kenge we
Hakika ni zaidi ya uwendawazimuTuliishakataa kusomba nyomi za kujaza mikutano, ccm acheni wananchi wenyewe waje kwenye mikutano yenu. Ona sasa madhara ya kusomba watu na malori toka sehemu za mbali ili tu kujaza mkutano. Hizi ni mbinu za kiewendawazimu!