Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

Bora yafe yote machawa hayo wenzao wanaiba mabillion ya fedha na kisomesha watoto shule na mamilion na nyingine wanatorosha kwenye mabenki ya ulaya huko yenyewe yanalipwa 10000 kwenda kushangilia majizi
 
Umaskin braza ...nimepewa.elfu 10 kwenda tu kuhudhuria mkutano wa hadhara na ukichek mfukoni nilikua Sina hata mia mbovu ...kwanini nisiende...shida umaskin braza...
Sasa hiyo elfu 10 inatosha nini?
 
Kumbe ndio maana mheshimiwa kenda kuwaona majeruhi🤔🥺🤔
 
Wafe kama ni machawa
NO REFORMS NO ELECTION
 
Kwa nini walienda na lori badala ya bus?
 
Hivi watu Hawa wanakubali vipi KUSOMBWA kwenye maloli kama wanyamakazi ?? Kama wanawapenda inabidi wawakodie youtong ili wakajaze mikutano
 
Chadema mbona wanakuja wenyewe bila kusombwa na mafuso? Aambiwe ukweli kuwa hakubaliki. Kwa sasa
 
Polisi na ccm.wakifa asiwepo mtu wa kudondosha chozi
 
Chadema watafurahi sana
Mnalazimisha mafuriko fake haya ndio matokeo yake. Toka lini malori yakaruhusiwa kusafarisha abiria? Kama sio chama kinachotegemea wajinga, mtu anayejitambua unaweza vipi kumpakiza kwenye lori ili akajaze uwanja ionekane rais anakubalika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…