fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
na akianzisha mmoja wengine wanafata so kinachotafutwa kitapatikanika tuKabisa ipo siku Wananchi wataonekana wabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na akianzisha mmoja wengine wanafata so kinachotafutwa kitapatikanika tuKabisa ipo siku Wananchi wataonekana wabaya
Bila shaka ni suala la muda tuna akianzisha mmoja wengine wanafata so kinachotafutwa kitapatikanika tu
tusubiriBila shaka ni suala la muda tu
Asije akawa ndo Faizafoxy wetu JF hapana akianzisha mmoja wengine wanafata so kinachotafutwa kitapatikanika tu
Typical colonial mindset..Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza).
Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea. Amesema “Mabomu ya machozi yamepigwa kwa kuwa walizuia magari yote, wameharibu Miundombinu, maduka... Mamlaka hatuwezi kukubali hilo.”
Kuhusu taarifa za Waandamanaji kupoteza maisha, amesema “Sijapokea taarifa kama kuna mtu amekufa, inawezekana yapo majeraha madogo, baadaye tukimaliza oparesheni tutatoa taarifa kamili, mpaka sasa tumewakamata Wtu 108 na tunawapeleka Mahakamani.”
Pia Soma ~ Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea
Duuh [emoji44]Angevunjwa kabisa miguu ingependeza sana
Hao ni mtaji wa polis bila laki 5 hutok ,wanaweza kaa na wew hata kwa miaka 5Dah watz😃😃😃😃
Hao leo ni mwendo wa kifinyo tuu🤣🤣🤣
Tutasikia na kuona mengi mwaka wa uchaguzi huu.Kupigwa mawe haitoshi ilifaa ajihudhuru kama mwenyekiti wa usalama wa wilaya.
Kuna raia pale wamepoteza maisha pamoja na watoto wao kupotea
Naam, umeniita?Asije akawa ndo Faizafoxy wetu JF hapa
huonekaniNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Nani anaeonekana humu, wote majinni tu.huonekani
Utekaji umezidi,Mwaka huu mmeanza kusambaza vibapa feki mapema?