Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

Hii hamjaiona:

Wameonewa tu, mbona waarabu na hata wahindi wanaona wao kwa wao na hatujasikia wamefungwa, hili neno ndugu wa damu maana yake ni nini?
 
2021 no like sometimes uwe serious basi Wewe mwanao wa kumzaa unaweza?
 
Wameonewa tu, mbona waarabu na hata wahindi wanaona wao kwa wao na hatujasikia wamefungwa, hili neno ndugu wa damu maana yake ni nini?
Hiyo ni culture yao ila kwa norms za nchi hairuhusiwi ukisoma chapter 25 ya penal code utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…