Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Umeshachovywa mara ngapi hadi leo?
[emoji1787][emoji1787]Binamu nyama ya hamu.
Wanachomoa hio kesi Wewe kanuni ya adhabu weka kule Sheria ya Ndoa weka kule Katiba weka kule leta kingineHawa chomoki hii sio kesi ya kwanza
[emoji1787][emoji1787]Kwa hio Wewe binamu yako anakutafuna?
WanachomoaHawa chomoki hii sio kesi ya kwanza
[emoji1787]Basi unatamaaani
Hata common sense tu hairuhusu sembuse sheria. Hata hivyo sheria ipo.Kuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Hiyo sijakutumia wewe binafsi. Hebu tuliza kichwa. Niliyokutumia kukujibu wewe si umeiona?Nimesemaje usitumie LMA huelewi?
Si tulishakubariana hakuna kuleta LMA
umewahi kusex na mwarabu?Uongo huo.
Tupo wenyewe hapa, Waarabu wa kuchovya.
Hujui sheria we unaweza kumla dada yako nianze hapoWanachomoa
Hii penal codeSi tulishakubariana hakuna kuleta LMA
Mzee wangu umeenda mbali sana Ila tu nikwambie Sheria haiishii hapo ndio maana nasema wakikata rufaa wanachomoaHujui sheria we unaweza kumla dada yako nianze hapo
Very immatureWanachomoa hio kesi Wewe kanuni ya adhabu weka kule Sheria ya Ndoa weka kule Katiba weka kule leta kingine
Upo coco beach unauliza baharini wapi?umewahi kusex na mwarabu?
Mwenzio kaleta 158Hii penal code
Mwarabu binamu au mwarabu wa kuchovya?Upo coco beach unauliza baharini wapi?
"Sisi" ,wewe na nani ?!!Haramu "kutafunana" nje ya ndoa na yeyote yule. Tunaowana kisheria kabisa.
Sisi siyo washenzi wa "kutafunana" nje ya ndoa .
The court of the law will determine the suit with the issues argued for me in the court of appeal they will not successedMzee wangu umeenda mbali sana Ila tu nikwambie Sheria haiishii hapo ndio maana nasema wakikata rufaa wanachomoa