Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

"Sisi" ,wewe na nani ?!!

"Wako jirani zangu" walikuwa wanatafunana...watoto wa "ami" tena nje ya ndoa....

Usiseme "waarabu"...sema uislam na ukristo uko kinyume na ZINAA....

Al kamaluLillahi
Hao hawafati mafundisho ya Kiislam wala ya Kikristo. Wanafanya fhambi.
 
Majakama ilijiridhisha kwa kuagiza wapimwe DNA?
 
Wewe someni sheria zilizokataza hilo katika nchi kwanza ndio uje hapa. Huna haja ya kuwarukia Waarabu na Waislam maana huu uzi utaukimbia
Sijawarukia ila nasema hata huku tumeoa ndugu njoo unikamate
KAFIRI KAMA WEWE HUWEZI KUELEWA KITU
 
Hivi kumbe katiba yetu inakataza kaka na dada wa damu kuoana?
Sio hapa tuu..sehemu nyingi duniani...hua inasababisha ulemavu kwa watoto wanaozaliwa hivyo kupoteza nguvu kazi ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…