Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kumbe ndio maana unawapenda sana waarabu
Upo coco beach unauliza baharini wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo coco beach unauliza baharini wapi?
Jibu ndio au hapanaMzee wangu umeenda mbali sana Ila tu nikwambie Sheria haiishii hapo ndio maana nasema wakikata rufaa wanachomoa
Hao hawafati mafundisho ya Kiislam wala ya Kikristo. Wanafanya fhambi."Sisi" ,wewe na nani ?!!
"Wako jirani zangu" walikuwa wanatafunana...watoto wa "ami" tena nje ya ndoa....
Usiseme "waarabu"...sema uislam na ukristo uko kinyume na ZINAA....
Al kamaluLillahi
158,160 na inayothaminisha hiyo relationship ni ya dada na kaka ni section 161Mwenzio kaleta 158
Wote ndugu tuHakuna hiyo, usijidanganye. Sema mtoto wa Mjomba na shangazi wanaoana. Rukhsa.
Hao wakate rufaa tu utashangaaThe court of the law will determine the suit with the issues argued for me in the court of appeal they will not successed
Kiislam tunaruhusiwa ndugu ambao sio wa kuzaliwa. haturuhusiwi kaka na dada wa kuzaliwa na wazazi wako.Wote ndugu tu
Wewe binamu kakutafuna?Hao hawafati mafundisho ya Kiislam wala ya Kikristo. Wanafanya fhambi.
Ndio nini?Jibu ndio au hapana
Majakama ilijiridhisha kwa kuagiza wapimwe DNA?Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Wewe binamu yako anakutafuna mpaka leo?Kiislam tunaruhusiwa ndugu ambao sio wa kuzaliwa. haturuhusiwi kaka na dada wa kuzaliwa na wazazi wako.
Tena mwaka wa 42 sasa, kihalali kabisa. Najivunia binamu nyama ya hamu.Wewe binamu kakutafuna?
Yes, Sheria za Ndoa katika nchi nyingi sana hapa duniani zinakataza ndoa kwa Watu wenye mahusiano ya damu (a half-blood relationships and marriage is strictly prohibited).Kuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Sasa watashitakiwa bila sheria?Kuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Sijawarukia ila nasema hata huku tumeoa ndugu njoo unikamateWewe someni sheria zilizokataza hilo katika nchi kwanza ndio uje hapa. Huna haja ya kuwarukia Waarabu na Waislam maana huu uzi utaukimbia
Sio hapa tuu..sehemu nyingi duniani...hua inasababisha ulemavu kwa watoto wanaozaliwa hivyo kupoteza nguvu kazi ya TaifaHivi kumbe katiba yetu inakataza kaka na dada wa damu kuoana?
Vifungu vipo kwenye sheria ya kanuni za adhabu. Kosa waliloshtakiwa nalo kuzimu na maharimuLeta vifungu Ila usivitoe kwenye LMA maana hawajaoana hao
Ndugu wa tumbo moja?Kuna watanzania wengi tu wameoana ndugu ila kuna mila zinafanyika ili kuondoa baadhi ya matatizo kwa vizazi vyao vijavyo
Maharimu nani?Vifungu vipo kwenye sheria ya kanuni za adhabu. Kosa waliloshtakiwa nalo kuzimu na maharimu