Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.

Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.

Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.

Chanzo: Habari Leo
Haya mambo mengine sasa sio ya kuhukumu kihivyo
 
Hii mahakama nayo kwanini inaleta hii hukumu wakati huu kuna debate nyingi za kitaifa, lengo ni nini? Hawajui kwamba uzi utahamisha mjadala mingine muhimu?
 
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.

Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.

Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.

Chanzo: Habari Leo
Je, mahakama ilijiridhisha kwa vipimo bora kama DNA kuwa hao ni ndugu kweli?
 
Nimeuliza kumlala unaruhusiwa?
158. Incest by males
(1)
Any male person who has prohibited sexual intercourse with a female person, who is to his knowledge his granddaughter, daughter, sister or mother, commits the offence of incest, and is liable on conviction—
(a)
if the female is of the age of less than eighteen years, to imprisonment for a term of not less than thirty years;
(b)
if the female is of the age of eighteen years or more, to imprisonment for a term of not less than twenty years.
(2)
It is immaterial that the sexual intercourse was had with the consent of the woman.
(3)
A male person who attempts to commit an offence under this section is guilty of an offence.
 
Hiyo ni penal code
 
LMA nimekwambia sitaki LMA nitakugonga makofi leta Penal Code
 
incest relationship huko india ni kawaida kabisa mtu kuoa mama yake ujinga sana huu
 
Kuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Ndio, sheria ya ndoa imekataza kuoana ndugu, au mzazi/mlezi kuoana na mwanaye, kuoa mpwa, mjomba, shangazi, bibi na babu au hata kuoa mtoto wa mwenza wako mlieachana.
 
Back
Top Bottom