stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Anafungwa na Mama yake hujui kuna Watoto wapo Jela na Mama zao?na huyo mtoto wangemfunga hata angalau miaka saba akitoka aanze darasa la kwanza au mahakama imlee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafungwa na Mama yake hujui kuna Watoto wapo Jela na Mama zao?na huyo mtoto wangemfunga hata angalau miaka saba akitoka aanze darasa la kwanza au mahakama imlee
Sheria Gani inayozuia kuona binamu?nitajie hicho kifunguMuwe mnasoma kwanza hizo sheria kabla ya kuja kuandika hapa. Jf sijui siku hizi inakuwaje
Haya mambo mengine sasa sio ya kuhukumu kihivyoMahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Kufunga nae ndoaKwa hio Jamaa yako unaruhusiwa kumla?
Hii mahakama nayo kwanini inaleta hii hukumu wakati huu kuna debate nyingi za kitaifa, lengo ni nini? Hawajui kwamba uzi utahamisha mjadala mingine muhimu?Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Kwani hao ni mabinamu?Sheria Gani inayozuia kuona binamu?nitajie hicho kifungu
Il iwe Fundisho kwa wengine.Washazaa wanawafunga ili iweje
Nimeuliza kumlala unaruhusiwa?Kufunga nae ndoa
Je, mahakama ilijiridhisha kwa vipimo bora kama DNA kuwa hao ni ndugu kweli?Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Kea misingi ipo,mila, uislam,ukristu,uhindu,ulahidi!?Nimeuliza kumlala unaruhusiwa?
HahahaHii mahakama nayo kwanini inaleta hii hukumu wakati huu kuna debate nyingi za kitaifa, lengo ni nini? Hawajui kwamba uzi utahamisha mjadala mingine muhimu?
158. Incest by malesNimeuliza kumlala unaruhusiwa?
Jibu swali unaruhusiwa kumlalia kwa juu?Kea misingi ipo,mila, uislam,ukristu,uhindu,ulahidi!?
Hiyo ni penal code158. Incest by males
(1)
Any male person who has prohibited sexual intercourse with a female person, who is to his knowledge his granddaughter, daughter, sister or mother, commits the offence of incest, and is liable on conviction—
(a)
if the female is of the age of less than eighteen years, to imprisonment for a term of not less than thirty years;
(b)
if the female is of the age of eighteen years or more, to imprisonment for a term of not less than twenty years.
(2)
It is immaterial that the sexual intercourse was had with the consent of the woman.
(3)
A male person who attempts to commit an offence under this section is guilty of an offence.
LMA nimekwambia sitaki LMA nitakugonga makofi leta Penal Code158. Incest by males
(1)
Any male person who has prohibited sexual intercourse with a female person, who is to his knowledge his granddaughter, daughter, sister or mother, commits the offence of incest, and is liable on conviction—
(a)
if the female is of the age of less than eighteen years, to imprisonment for a term of not less than thirty years;
(b)
if the female is of the age of eighteen years or more, to imprisonment for a term of not less than twenty years.
(2)
It is immaterial that the sexual intercourse was had with the consent of the woman.
(3)
A male person who attempts to commit an offence under this section is guilty of an offence.
Ndiyo. Kaka na dada hawawezi kuoana; sawa na mama hawezi kuolewa na mtoto wake na baba hawezi kumuoa binti yake.Kuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Ndio, sheria ya ndoa imekataza kuoana ndugu, au mzazi/mlezi kuoana na mwanaye, kuoa mpwa, mjomba, shangazi, bibi na babu au hata kuoa mtoto wa mwenza wako mlieachana.Kuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Hujaolewana binamu kweli wewwUongo huo.
Tupo wenyewe hapa, Waarabu wa kuchovya