SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

Hivi hatuwez kupitisha sheria ya makabuli?? Walau yaishi kwa miaka 50 baada ya hapo yawe huru kuvunjwa kama yako ktk maeneo ya umma ili shughuli zingine ziendelee?? Maana kun mahali kuna makaburi hadi ya vita y kwanza ya dunia,miji imebadilika ila tunaogopa kugusa makabuli ya marehwmu,wengine hata kizazi kilishavurugika hawakumbukwi tena!
 
the dead body since 1975, this is another sign of primitive society, since 1975 what is in there? spending the production time and manpower with all those people around there instead of one or two people take the left over and send anywhere.
Acha dharau! respect the dead.
 
Maisha ya wengi bado ni duni sana kifikra kiakili na kiuchumi, mtu aliyezikwa 1975 kumfanyia mazishi upya ni kwa ajili ya nini hasa?
 
Back
Top Bottom