Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

Ndugu zangu wasukuma na matumizi sahihi ya akili ni vitu tofauti,hapo wakiambiwa waorodheshe watoto waliopotea, hawana
Wewe ndo huna akili, at least wao wanajua haki zao na wamechukua hatua ambayo waliopewa dhamana wamelala bila kuwajibika,wewe ni msukule usiyejielewa
 
Mtu anapotea badala wachunguze wanakwambia tu kaenda kutafuta maisha.
 
Huj
Ndugu zangu wasukuma na matumizi sahihi ya akili ni vitu tofauti,hapo wakiambiwa waorodheshe watoto waliopotea, hawana
Mkuu ujaona wakiwa wamebebe picha wa watoto waliopotea?mpaka mtu ajitokeze hadharani kushinikiza hilo swala maana yake ameguswa in one way another either wengine wajomba mashangazi waazazi nk. Wamepotelewa na watoto wao wanauchungu wameshindwa kuhimili hisia zao usiwabeze
 
Brother uko eneo husikq au una bonga tu? Pls shutup. Habari ikiwa ya uwongo jf wangesha itolea taarifa kama wanavyofanya kwa wengine
Acha kutetea matatizo, kama halikugusi kaa kimya acha yanayowagusa wapambane
Nangi zinamsumbua
 
haya mambo ambayo yanapotezewa ndo yanakuja kuwashika pabaya
 
Haraka ya nini? Wasubiri kwani uchaguzi ukiishaambo yote hayo hayatakuwepo itabaki historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…