Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Ukichunguza wana habari wote walikua na kadi za chama cha kijani mfukoni kwao
 
RIP watz wenzetu.
 
Niliacha uandishi wa habari baada JK kutoka madarakani,tulikuwa tukiitwa sehemu,iwe kwa mkuu wa mkoa,taasisi za serikali tunasign elfu 50 hadi laki moja kwa ajili ya kuripoti uongo.Tunapopigiwa simu hata hela ya nauli hatuna tunaambiwa gari litawakuta sehemu fulan.Hii Ni kawaida kupewa hela na kuandaliwa gari kwa ajili ya waandishi wa habari.Vyombo vya habari bado haviko huru,waandishi wanatakiwa wapewe usafir wao ili wasiripoti uongo au maigizo.
 
Umesahau ndo haohao wanateuliwa kila leo kuwa ma-DC. Hilo ni tawi la CCM.
 
Gari za serikali ni mali ya mkuu wa mkoa?

Tuache hii mentality jamani, likija swala la mali ya Serikali, ni yetu sote.

Kuandika uongo au kusifia sifia hakuhusiani na kupanda gari za serikali!!
Kiprotocal, kwenye misafara ya kiserikali Waandishi wa Habari huwa wanatengewa usafiri wao.

Pamoja na hayo Gari ya Serikali sio ya mkuu wa mkoa/wilaya or whoever.
 
Umenikumbusha hii ziara ya obama ilikuwa tanapangiwa kila kitu. Ha haa
 
Wakikujibu nistue
 
Poleni woote mlioguswa na msiba huu... Majerui Mungu awape shifaa yake mpone mapema ili muweze kurejea kwenye shughuli zenu za kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…