Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

Hahaha VP mkuu embu tukumbushe wamepoteza mechi gan nyumban kwao alafu usgm s wachovu n kwamba wamekutana na timu kubwa ambazo zmezoea haya mashindano hili group bado gumu kila timu ina nafas kikubwa Kama simba tunatakiwa angalau tupate drow kwa RS berkane
 
Kwa maana hiyo Gendarmerie wataishia point moja tu
 
Mna ujinga mwingi sana vichwani mwenu, kubalini Simba inajua zaidi yenu muishi kwa amani sio kutujazia machozi huku.

Juzi Simba kampiga huyo Asec unayemsifia 3-1 alibebwa na nani?

Tatizo lenu majini visirani, Simba akicheza mnakodoa macho mkijua atafungwa, akishinda mnanuna na kuanza kutunga kila aina ya utopolo shwaini.
 
Takataka hii
 
Daaah!
 
Hili kundi Simba hatupotezi mechi hata moja.

Jana tumetoa sare lakini kumbuka Bwalya, Mkude, Lwanga, Mgalu, Chama, Mzamiru, Dilunga, Kibu wako nje.
 
Timu iliyofanikiwa nyumbani kwa hao vibonde wako Ni aliyetoa droo. Records zinaonyesha hivyo. Ni wagumu hasa wakiwa kwao.

Simba akishinda mechi 2 za nyumbani atafuzu nadhani hili hulijui.

Ila ww Ni Utopolo/zuzu huna akili.
 
badala ya kuombea Simba mabaya hebu kaeni kwanza chini na kujisahihisha nye mlitolewaje shirikisho hatua za awali bila hata kufunga goli moja
 
USGN kashamtupia mtu mbili huko we kiazi mbatata
 
USGM ni vibonde?
 
Hongereni nyie mliofuzu Klabu bingwa
badala ya kuombea Simba mabaya hebu kaeni kwanza chini na kujisahihisha nye mlitolewaje shirikisho hatua za awali bila hata kufunga goli moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…